Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8967 results for Mwandishi :

  1. Ubelgiji: Hatuogopi uenyeji wa Marekani

    ALFAJIRI ya kuamkia Jumanne kwa saa za Afrika Mashariki, wenyeji wenza wa Kombe la Dunia 2026, Marekani wataikaribisha Ubelgiji kwenye mechi ya hatua ya 16 bora kuwania kufuzu robo fainali.

    UBELGIJI Pict
  2. Joshua arejea ulingoni 'kumvaa' Prenga

    BONDIA nyota wa Uingereza, Anthony Joshua atarejea rasmi ulingoni Julai 25 nchini Saudi Arabia kupambana na Kristian Prenga katika pambano linalotajwa kuwa hatua ya mwisho kabla ya kukutana na...

    JOCHUA Pict
  3. Majeraha ya William Saliba Arsenal pigo

    ARSENAL imepokea taarifa mbaya baada ya beki wake tegemeo, William Saliba atalazimika kukaa nje ya uwanja kwa hadi miezi mitano kutokana na majeraha ya mgongo aliyoyapata akiwa na timu ya taifa...

    SALIBA Pict
  4. Mashabiki England wasusia mechi ya kirafiki Marekani

    Nahodha wa timu ya taifa ya England, Harry Kane na wachezaji wenzake wanakabiliwa na uwezekano wa kucheza mbele ya uwanja usio na mashabiki wengi nchini Marekani wiki ijayo.

    MASHABIKI Pict
  5. Wadau kikapu waipongeza Dar City

    Dar City imetupwa nje katika robo fainali ya Kikapu Afrika (BAL) Play off, baada ya kufungwa jumla ya pointi 165-157 na Petro De Luanda ya Angola katika mechi mbili za robo fainali, huku wadau...

    DAR CITY Pict
  6. Marcelo Bielsa amtema Suárez Kombe la Dunia

    Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya kuanza kwa Fainali za Kombe la Dunia 2026, kocha wa Uruguay, Marcelo Bielsa amemwacha nje mshambuliaji mkongwe Luis Suárez katika kikosi cha timu hiyo...

  7. James Milner akubali yaishe, ajiweka pembeni

    James Milner, kiungo wa Brighton, Liverpool na Manchester City, amethibitisha kustaafu soka rasmi akiwa na umri wa miaka 40, akiwa ametumika kwenye Ligi Kuu England kwa misimu 24.

    MILNER Pict
  8. Serengeti Girls isikate tamaa, nafasi ipo

    JUZI Jumamosi, timu ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 17 ilicheza dhidi ya Afrika Kusini mechi ya kwanza wa raundi ya pili ya kusaka tiketi ya Kombe la Dunia kwa wanawake chini ya miaka 17.

    SERENGETI Pict
  9. Magwiji wawili waangwa Real Madrid

    MASHABIKI wa Real Madrid juzi waliwaaga kwa hisia kubwa wachezaji wao wapendwa, David Alaba na Dani Carvajal, katika usiku wa historia uliokuwa umejaa heshima kwenye Uwanja wa Santiago Bernabéu.

    MAGWIJI Pict
  10. Ni zama za utawala wa Arsenal

    Imesubiri kwa muda mrefu, hatimaye baada ya miaka 22, Arsenal imetwaa tena ubingwa wa Ligi Kuu ya England.

    ARSENAL Pict
Previous

Page 496 of 897

Next