Cristiano Ronaldo na oparesheni 1,000 HII inaitwa oparesheni 1,000. Ndicho unachoweza kusema kutokana na mpango wa supastaa wa soka duniani, Cristiano Ronaldo kutaka kurudi Ulaya ili tu kuja kutimiza ndoto zake za kufikisha mabao...
Kiatu cha dhahabu AFCON 2025 kipo hapa! MCHAKAMCHAKA wa mashindano ya ubingwa wa Afrika kwa timu za soka za taifa unatarajia kuanza Jumamosi hii na mataifa yataanza harakati wa kuwania ufalme wa michuano hiyo iliyofahamika kwa jina la...
Bro'ake Mainoo aleta uchochezi KAKA yake kiungo Kobbie Mainoo amechukua uamuzi wa kuvaa fulana yenye maandishi ya uchochezi wakati wa mechi ya Manchester United iliyomalizika kwa sare ya mabao 4-4 dhidi ya Bournemouth...
Vita Kundi F AFCON 2025, haijaisha hadi iishe! MSIMAMO unavyosoma kwenye Kundi F la mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 umenoga kwelikweli na timu zote nne zipo kwenye mchakato wa kuwania kukamatia tiketi ya kutinga hatua ya...
Karata ya kwanza Stars Fifa Series TIMU ya Taifa ‘Taifa Stars’, leo itakabiliana na Liechtenstein katika mechi ya Fifa Series kwenye Uwanja wa Kigali Pele nchini Rwanda kuanzia saa 11:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki.
Pamba Jiji, Azam FC vita ya nne Ligi Kuu Bara KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Francis Baraza amesema anatarajia dakika 90 bora dhidi ya Azam FC ambazo amezitaja kuwa zitaamua hatma ya nani kubaki nafasi ya nne huku akisisitiza kuwa wamejianda...
Wachezaji wanaolipwa mishahara mikubwa kila klabu EPL MKATABA mpya wa Bukayo Saka kwenye kikosi cha Arsenal unamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi katika klabu hiyo.
Jurgen Klopp amfuta kazi kocha mwingine JURGEN Klopp amefanya uamuzi mwingine mzito kwa mara ya pili ndani ya wiki moja katika nafasi yake mpya kama mkuu wa soka wa kimataifa wa kampuni ya Red Bull GmbH baada ya kumfuta kazi kocha...
Kocha Mtibwa Sugar alia na mabeki KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Yusuf Chipo amelia na safu ya ulinzi kurudia makosa, huku akisisitiza wamekutana na timu bora ambayo imetumia udhaifu walionao kuwaadhibu na sasa wanaenda kujipanga...
Ronaldo yupo Saudi Arabia, Al-Nassr yatoa ufafanuzi Klabu ya Al-Nassr imethibitisha kuwa nahodha wake, Cristiano Ronaldo, bado yupo Saudi Arabia, ikikanusha tetesi zilizoenea kuwa ameondoka Mashariki ya Kati kufuatia kuongezeka kwa mashambulizi...