Unai Emery afunguka kitu Aston Villa KOCHA wa Aston Villa, Unai Emery kwa hasira amesema timu yake haina nafasi ya kumaliza ndani ya tano bora baada ya Thierno Barry kuisababishia kipigo kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.
Mukwala asepa, aibukia Uarabuni KAMA Mwanaspoti lilivyowajulisha mapema baada ya Jean Charles Ahoua kuuzwa CR Belouizdad ya Algeria, pia Steven Mukwala naye alikuwa mbioni kuondoka klabuni hapo, ndivyo ilivyo kwa sasa baada ya...
Waziri Mkuu kunogesha tamasha la Wabunge Simba, Yanga WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba anatarajia kunogesha tamasha litakalowakutanisha watumishi wa Bunge na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wanaoshabikia klabu za Yanga na Simba akiwa mgeni...
Walipa kodi mashuhuri Ligi Kuu England STAA wa Manchester City, Erling Haaland anaongoza katika orodha ya wachezaji wa Ligi Kuu England waliolipa kodi kubwa zaidi, takribani Pauni 16.9 milioni mwaka jana.
Kwanini wafupi ni mastaa wakicheza namba moja? KWA kawaida mchezo wa kikapu umezoeleka ili kuucheza ni lazima uwe na mwili mkubwa, hususan urefu.
Sesko alivyoiokoa Man United dakika za jioni Benjamin Sesko ameibuka shujaa wa Manchester United usiku wa jana baada ya kufunga bao la kusawazisha katika dakika za majeruhi na kuiokoa timu yake ambayo ilionekana ipo hatarini kupoteza mchezo...
Vita ya ubingwa EPL bado mbichi VITA ni kali England. Ndio, Arsenal na Manchester City zipo ktika vita kali ya kuwania ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL) zina uwezekano wa kukutana mara tano kuanzia mwezi ujao hadi mwisho wa...
Cunha: Pointi 15 ni muhimu kuliko nywele za shabiki KIUNGO wa Manchester United, Matheus Cunha ametoa maoni yake kuhusu shabiki wa Manchester United ambaye ameapa kutonyoa nywele zake hadi klabu hiyo ishinde mechi tano mfululizo, akisema jamaa...
Cheki Lamar anavyokimbiza mfukoni na jukwaani WIKI chache zilizopita, rapa wa Marekani, Kendrick Lamar, alirudi kwenye vichwa vya habari baada ya kushinda tuzo za Grammy na kuweka rekodi ya kuwa rapa aliyefanya hivyo mara nyingi zaidi (27).