Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8955 results for Mwandishi :

  1. Guardiola atoa kauli "sitaki aibu"

    ACHANA na mchezo wa jana wa Liverpool dhidi ya Manchester City, si unakumbuka ni juzi kati tu Pep Guardiola aliongeza mkataba wa kuendelea kuifundisha City hadi mwaka 2026?

  2. Ancelotti atinga mahakamani, akana mashataka

    KOCHA wa Real Madrid, Carlo Ancelotti, amesisitiza kwamba hana hatia wala wasiwasi katika kesi yake inayomkabili ya udanganyifu na kukwepa kodi.

    CARLO Pict
  3. Olmo, Pau kizungumkuti FC Barcelona

    NYOTA wa Barcelona, Dani Olmo na Pau Victor wanakabiliwa na hatari ya kuondolewa tena kikosini na mamlaka za soka nchini Hispania baada ya kunusurika kadhia hiyo mwaka jana.

    OLMO Pict
  4. Rais Samia akutana na Sir Jim Ratcliffe Ikulu Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa, Aprili 11, 2025 amekutana na mmiliki wa Manchester United, Sir Jim Ratcliffe, ikulu, Dar es Salaam. Katika kikao hicho...

    KOCHA Pict
  5. Rio Ferdinand ampa kocha Man United wanne

    LEJENDI wa Manchester United, Rio Ferdinand amewataja wachezaji wanne ambao kocha wa timu hiyo, Ruben Amorim anatakiwa awasajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kuboresha kikosi chake.

    RIO Pict
  6. Timu ya Mbappe yashuka, mashabiki wawaka

    MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Kylian Mbappe ameendelea kuandamwa na jinamizi baada ya mashabiki wa timu ya Caen anayoimiliki iliyokuwa inashiriki Ligi Daraja la Pili Ufaransa (Ligue 2) kushuka...

  7. Arteta katibua watu kisa ubingwa wa ligi

    MASHABIKI wa Liverpool wamefyumu baada ya kocha wa Arsenal, Mikel Arteta kubeza ubingwa wao wa taji la Ligi Kuu England msimu huu. Kocha Arne Slot aliongoza Liverpool kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu...

  8. Huu ndio udhaifu wa Fountain Gate, KenGold

    UKIANGALIA takwimu za Ligi Kuu Bara msimu huu utagundua kwamba Fountain Gate ndiyo timu nyepesi zaidi kuruhusu mabao iwe uwanja wa nyumbani au ugenini.

  9. PRIME Yanga yafuata kocha Sauzi, kuhusu Hamdi iko hivi!

    WAKATI kukiwa na taarifa kwamba Yanga ina mpango wa kuwa na benchi jipya la ufundi kwa msimu ujao, taarifa zinadai kuwa mabosi wa timu hiyo wameshaanza harakati za kusaka mbadala wa Kocha Miloud...

  10. Shangwe la Spurs ilipobeba Europa League

    MASHABIKI wa Tottenham Hotspur hakuna walichoona kinatosha zaidi ya kuvamia kwenye uwanja wao kwa furaha baada ya kikosi chao kufanikiwa kunyakua ubingwa wa Europa League kwa kuichapa Manchester...

    SHANGWE Pict
Previous

Page 476 of 896

Next