Usky ngumi anazijua na mkwanja pia anao BAADA ya pambano la kwanza la Mei mwaka jana kati ya Alexander Usky na Tyson Fury, wawili hawa walirudiana Desemba mwaka huo huo na Fury alipoteza kwa mara ya pili kwenye pambano hilo la raundi 12.
Slot aipa onyo Real Madrid LIVERPOOL, ENGLAND BAADA ya Liverpool kuripotiwa kumpa ofa ya mkataba wa miaka mitano utakaomwezesha kukunja Pauni 78 milioni, mchezaji wao Trent Alexander-Arnold, kocha wa timu hiyo Arne...
Bondia Mgaya kuzikwa kesho Januari 2, Jeti Lumo Mweka hazina wa Chama cha mabondia wa ngumi za kulipwa nchini, Cosmas Cheka amesema kuwa bondia Hassan Mgaya sasa anatarajia kuzikwa kesho Januari 2, 2025 badala ya leo Jumatano kama...
Mastaa hawa Man United wanauzwa HABARI ndo hiyo. Manchester United imeripotiwa sasa imefungua milango ya kupokea ofa zote za kumhusu mchezaji yeyote kwenye kikosi chao – ikiwamo wale watatu ambao awali walitajwa kwamba...
Zanzibar, Harambee patachimbika UHONDO wa michuano ya Kombe la Mapinduzi 2025 hatua ya makundi inahitimishwa usiku wa leo kwa mchezo utakaowakutanisha wenyeji, Zanzibar Heroes dhidi ya Harambee Stars ya Kenya, ili kuamua timu...
Vigogo Barca wataka maelezo kuhusu bao la Lewandowski BARCELONA, HISPANIA: VIGOGO wa Barcelona wameripotiwa kutuma barua kwenda kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Hispania, (RFEF) ili kupewa maelezo juu ya bao la Robert Lewandowski lililokataliwa...
Rasmi, Mpanzu kuanza na Kagera Sugar KLABU ya Simba imethibitisha kwamba, kila kitu kuhusu usajili wa Elie Mpanzu ndani ya kikosi hicho kimekamilika, hivyo ni rasmi sasa yupo tayari kuanza kuitumikia timu hiyo katika mchezo ujao wa...
Palmer, lolote linaweza kutokea LONDON, ENGLAND: KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema mchezaji wake, Cole Palmer anatakiwa kufanya vizuri zaidi pale anapokuwa anawekewa mtu mmoja wa kumkaba muda wote wa mchezo, vyenginevyo...
Taifa Stars uhakika Afcon, Guinea yaangukia pua CAF Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetupilia mbali rufaa ya Guinea dhidi ya Tanzania na hivyo kuipa uhakika Taifa Stars kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon...
Mbili zapanda Ligi Kuu Zenji, Zimamoto yaua WAKATI maafande wa KVZ na Zimamoto wakifanya mauaji katika mechi za Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) iliyopo ukingoni, timu za Muembe Makumbi na Inter Zanzibar zimekuwa za kwanza kupanda ligi hiyo kwa...