ZA NDAANI KABISA: Mtibwa yaziiga Simba SC, Yanga SC BAADA ya kuusotea ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa zaidi ya miaka 22, klabu ya Mtibwa Sugar, imepanga kufanya usajili wa kuhusisha nyota wa kigeni, ili waipige tafu ikiziiga Simba, Yanga na Azam...
Yule namba 6 wa Yanga huyu bwana Dar es Salaam. Baada ya mazungumzo ya siku moja jijini Dar es Salaam, nyota wa Marumo Gallants, Mahlatse Makudubela amefikia makubaliano ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja wa kuitumikia...
Mamadou Sakho kuendeleza soka Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza hatua ya chezaji wa timu ya mpira wa miguu wa Klabu ya Crystal Palace inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza...
Nape mgeni rasmi Tamasha la pasaka Dar es Salaam. Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la Pasaka. Tamasha hilo la bure linatarajiwa kufanyika viwanja vya Leaders...
Haya hapa maswali tata kwa Feisal Salum KIUNGO Feisal Salum 'Fei Toto' amewashtua wadau wa soka nchini baada ya kutumia akaunti zake za mitandao ya kijamii kutembeza bakuli la kusaka fedha za kumpeleka Mahakama ya Usuluhishi la...
Nabi, Kaze mtegoni Yanga YANGA ipo Tunisia kwa ajikj ya marudiano la mtoano wa kuwania kutinga makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya, Club Africain, huku makocha Nasreddine Nabi na msaidizi wake Cedric Kaze...
Uwanja mpya wa Geita Gold FC kukamilika Mei 2023 Uwanja wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited (GGML), unatarajiwa kukamilika Mei mwaka huu.
Gor kupeleka raha FKF-PL Narok MABINGWA wa zamani Ligi Kuu Kenya, Gor Mahia, wamepeleka mchezo wao dhidi ya Wazito FC Uwanja wa Narok katika kaunti ya Narok. Mchezo huu awali ulikuwa upigwe jana Uwanja wa Moi jijini Kisumu...
Mfaransa amchenjia Mwambusi YANGA imerudi upya mezani kuanza upya mchakato wa Kocha Mkuu Mpya baada ya kuzinguana na Mfaransa Sebastian Migne na sasa wakati wowote kuanzia leo watamshusha mwingine mpya anayekuja na jeshi...
TBT ZILITREND: Simba 'yairoga' Yanga KAMA kawaida tunaendelea kuwakumbushia stori zilizotrendi miaka ya nyuma na jana ikiwa ni Juni 2 tunarudi hadi mwaka 2004 na kukutana na habari iliyobamba kipindi hicho inayohusu Yanga kubwana...