Yamal aongoza shangwe, Hispania yatua kifalme MSHAMBULIAJI chipukizi wa Hispania, Lamine Yamal alikuwa kivutio kikubwa wakati wa gwaride la mabasi ya wazi jijini Madrid baada ya taifa hilo kutwaa Kombe la Dunia 2026.
Iraola: Mac Allister, Alisson hawauzwi KOCHA wa Liverpool, Andoni Iraola, amesema hana mpango wa kuwauza kiungo Alexis Mac Allister na kipa Alisson Becker, akisisitiza kuwa anataka kuwabakisha nyota wake muhimu kuelekea msimu wa 2026-27.
Mokwena aanza na mrithi wa Mayele Pyramids INARIPOTIWA kuwa, kocha Rulani Mokwena ameanza kwa kasi harakati za kusaka mshambuliaji katika kikosi chake cha Pyramids FC, kufuatia kuondoka kwa mshambuliaji tegemeo, Fiston Mayele.
Ally Mwazoa; promota wa Mwakinyo mwenye simulizi tamu, chungu za ndondi-2 anafahamu kama Hassan ‘ametrain’ right, ila angeachiwa kocha wake akawa huru, angefanya vizuri sana kwani ndiye amemfundisha hadi akashinda Uingereza, anamfahamu vilivyo bondia.” Udhamini...
Wambura ana nafasi ya kuibuka shujaa au kuzama hiyo pia ilikuwa na ufafanuzi uliosomeka: “Haikuweza kufahamika mara moja kwa nini Rage alimtaja jina kiongozi huyo baada ya kuonyesha ufundi wa kuuchezea mpira.” Wakati baadhi ya waandishi...
TUTUMIE MCHORO WA PENTAGONI KUMSAKA MO DEWJI NA WATEKAJI CCM (Kanguye), hajulikani alipo mwandishi wa habari (Azory), walitekwa Roma na wenzake, sasa ni Mo. Vyama tofauti, kazi hazifanani. Wanamuziki, wanasiasa, mwandishi, mfanyabiashara.
JIWE LA SIKU:Stars isikate tamaa, wakubwa wamechoka Mpendwa msomaji ni kawaida ya safu hii kukupitisha katika masuala mbalimbali ya michezo na utamaduni kwa jicho la uchambuzi.
KIJIWE CHA SALIM: Jamatini alipoingia golo KILA ninapofika Moshi yapo mambo yanayonikumbusha visa na mikasa nilivyokutana navyo kuanzia mwishoni mwa miaka ya 1960 hadi mwanzoni mwa miaka ya 1970.
Simulizi ya wamachinga viwanja vya soka Afrika KILA nikifika Dar es Salaam, Tanga au Morogoro hujaribu kukutana na wachezaji wa kandanda niliokuwa nao kuanzia mwisho wa miaka ya 1960 hadi katikati ya miaka ya 1980.