Ambani aendeleza rekodi bora, Leopards ikitakata Mashemeji Derby Kocha wa AFC Leopards, Fred Ambani, ameendeleza rekodi yake ya kutopoteza dhidi ya Gor Mahia baada ya kuiongoza timu hiyo kushinda katika Dabi ya 98 ya Mashemeji kwenye Uwanja wa Nyayo, jana...
Mohamed Salah anasepa OFISA Mtendaji Mkuu wa Ligi Kuu Saudi Arabia amethibitishwa rasmi mshambuliaji wa Liverpool, Mohamed Salah ni miongoni mwa wachezaji wanaohitaji kuwa nao katika ligi yao dirisha lijalo la majira...
Amitabh, Shah Rukh Khan wamlilia Dharmendra SAA chache baada ya mwigizaji mkongwe wa filamu, Dharmendra, kufariki dunia nyumbani kwake leo Jumatatu, Novemba 24, ikithibitishwa na Shirika la Habari la IANS, rafiki yake wa muda mrefu na...
Dola 10,000 zilivyobadilisha upepo kwa Ibenge Azam Ongezeko la Dola 10,000 (Sh26 milioni) katika mshahara wa Florent Ibenge, ni miongoni mwa sababu zilizomfanya kocha huyo kubakia Azam FC na kuitosa timu ya taifa ya Mali.
Ronaldo, Messi mabilionea wapya mjini Nyota wawili waliotawala soka la dunia kwa zaidi ya miongo miwili, Cristiano Ronaldo na Lionel Messi, wameandika historia nyingine baada ya kufikia rasmi hadhi ya mabilionea kabla ya kuanza kwa...
Wesley aumia, Ederson kuchukua nafasi Brazil TIMU ya taifa ya Brazil imepata pigo kubwa wakati fainali za Kombe la Dunia zikikaribia, baada ya beki wake wa kulia, Wesley kutangazwa kukosa mashindano hayo kutokana na majeraha ya misuli ya...
DR Congo yacheza kwa siri kuhofia ebola Timu ya taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DR Congo) italazimika kucheza mechi yake ya mwisho ya maandalizi ya Kombe la Dunia bila mashabiki baada ya mamlaka kuamua mechi hiyo ifanyike...
Norway yasafiri na tani moja ya vyakula vyao Kombe la Dunia Timu ya Taifa ya soka ya Norway haikuleta tu kikosi cha wachezaji na mbinu za uwanjani kwenye fainali za Kombe la Dunia 2026 zinazoendelea sasa nchini Marekani, Canada, na Mexico; wameleta na...
Kwa Casado ni ofa tu zinasubiriwa Barca WAKATI msimu unakaribia kumalizika na tetesi za uhamisho zimeanza kusikikaa, Marc Casado ni mmoja wa wachezaji ambao hawana nafasi ya uhakika katika msimu ujao kwenye kikosi cha Barcelona.
Kiungo England ampa ujauzito binti wa kocha wake Kiungo wa Sheffield United, Oliver Arblaster na binti wa kocha wake, Martha Elizabeth Wilder wamethibitisha kuwa wanatarajia kupata mtoto kutokana na uhusiano wao wa kimapenzi uliodumu kwa muda...