DTB yabeba ndoo ya mabenki Dar Timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB) imetawazwa kuwa bingwa mpya wa mashindano ya mabenki msimu huu yaliyofikia tamati usiku wa jana Agosti Mosi kwenye viwanja vya klabu ya Gymkhana, Dar es...
Coastal Union yapigishwa kwata na JKU UHONDO wa michuano ya Kombe la Kagame 2024 umeendelea mchana huu baada ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union kushindwa kuhimili vishindo vya maafande wa JKU ya Zanzibar kwa kufumuliwa mabao 2-0 katika...
PRIME Beki la Ivory Coast lakubali miwili Simba HATIMAYE Wekundu wa Msimbazi, Simba wamefikia makubaliano na Racing Club Abidjan ya Ivory Coast kwa ajili ya kupata huduma ya beki wa kati, Chamou Karaboue, 24, huku Ahoua Jean Charles akitajwa...
Mdogo wa Mandojo asimulia dakika za mwisho za kaka yake Mdogo wa mwanamuziki na mfanyabiashara, Joseph Francis maarufu kama Mandojo, aliyefariki dunia jana Jumapili Agosti 11, 2024, amesimulia dakika za mwisho alivyokutana na kaka yake kabla ya umauti.
Mkataba mpya kumpa ukwasi Haaland Manchester City inajiandaa kumpa mkataba mpya mshambuliaji wake Erling Haaland utakaomfanya awe mchezaji anayelipwa kiasi kikubwa zaidi cha fedha katika Ligi Kuu ya England (EPL).
Haya Mourinho apelekwa mchangani Kombe la FA KOMBE la FA lina raha yake. Timu ya mchangani ya Marine imetinga hatua ya tatu ya Kombe la FA na kupata fursa ya kukipiga dhidi ya Tottenham Hotspur ya Jose Mourinho kwenye uwanja wao wa nyumbani.
Irine Uwoya agoma kuacha vimini IRINE Uwoya amesema hawezi kuacha kuvaa nguo fupi kwavile amezoea kufanya hivyo na hajaanza baada ya kuwa staa wa filamu.
Last Chance kwa Yanga LUPOPO FC wamekimbia jiji na kujificha, lakini kwa upande mwingine ni nafasi ya mwisho kwa Yanga; Kusonga mbele au kutolewa. hakuna jingine zaidi ya kushinda mabao 2-0 katika mechi ya Ligi ya...
Echesa amuua shabiki Yanga SHABIKI maarufu wa Yanga mkoani Mtwara, Suleiman Hamis Kutoboa amefariki dunia jana Jumatatu asubuhi katika Hospitali ya Mkoa wa Mtwara Ligula baada ya kuanguka mara baada ya kiungo, Hillary...
First eleven mpya Yanga, Simba kiboko USAJILI wa Yanga na Simba sasa unaleta raha. Vikosi vilivyosajiliwa na timu hizo unaweza kutengeneza vikosi viwili kila moja na kucheza kwa fomesheni yoyote ile kutokana na uwezo, uzoefu na ujuzi...