Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8559 results for Mwandishi Wetu :

  1. Raundi tatu za Ligi Kuu Bara,Fountain Gate hadi aibu

    JANA Oktoba 1, 2025, raundi ya tatu ya Ligi Kuu Bara ilihitimishwa kwa kuchezwa mechi mbili, Simba ikiifunga Namungo mabao 3-0, huku JKT Tanzania ikitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Azam.

  2. PRIME Nabi avunja ukimya, afafanua ishu ya kutua Simba

    Nabi amefunguka, soma zaidi hapa.

  3. Coastal yamtimua Kocha, mrithi wake huyu hapa

    Coastal Union imefikia uamuzi wa kuachana na Kocha Ali Ameir baada ya kuinoa katika mechi tatu tu za Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.

  4. Spurs yapindua meza kwa Marc Guehi

    TOTTENHAM Hotspur inatajwa kuwa miongoni mwa timu zinazofanya mazungumzo kwa ajili ya kuipata saini ya beki kisiki wa Crystal Palace na timu ya taifa ya England, Marc Guehi, mwenye umri wa miaka 25.

    FUNUNU Pict
  5. Barcelona yasema jambo ishu ya Rashford

    MKURUGENZI wa michezo wa Barcelona, Deco amesisitiza kwamba klabu hiyo imevutiwa sana na kiwango ambacho mshambuliaji wa kimataifa wa England, Marcus Rashford amekionyesha lakini haitokuwa na...

    RASHRORD Pict
  6. Mbeumo ajilipua Man United, awageukia wenzake

    NYOTA wa Manchester United, Bryan Mbeumo, amewataka wachezaji wenzake wawajibike kufuatia mwanzo mbaya wa msimu huu.

    MBEUMO Pict
  7. Arne Slot ‘amtibua’ gwiji Liverpool

    LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amemshambulia vikali kocha wa timu hiyo Arne Slot na wachezaji wake baada ya kupoteza mechi mbili mfululizo, akisisitiza kwamba wanacheza kama timu ndogo.

    GWIJI Pict
  8. Saliba afunguka kuikacha Real Madrid

    BEKI kisiki wa Arsenal, William Saliba ameweka wazi kwamba alikataa kujiunga na Real Madrid na kuendelea kubalia Arsenal kwa sababu bado hajakamilisha jambo moja ambalo ni kushinda mataji na...

    SALIBa Pict
  9. 'Slot anaikosea sana Liverpool, atakuja kujuta'

    GWIJI wa soka nchini Scotland, Craig William Burley ameonesha wasiwasi mkubwa kuhusu uamuzi wa kiufundi wa kocha wa Liverpool, Arne Slot, baada ya timu hiyo kupoteza mechi ya Ligi ya Mabingwa...

    SLOT Pict
  10. Kisa umri, Ronaldo atupwa nje Saudia

    KOCHA wa Al-Nassr, Jorge Jesus, amesema Cristiano Ronaldo hatakuwa sehemu ya kikosi chake kitakachopambana na Al-Zawraa ya Iraq katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Asia leo Jumatano, Oktoba Mosi 2025.

    RONALDO Pict
Previous

Page 372 of 856

Next