Arsenal yafanya umafia London ARSENAL imefanya umafia wa kuipokonya tonge mdomoni Tottenham Hotspurs kwa kuingilia dili lao la kiungo mshambuliaji wa Crystal Palace, Eberechi Eze dirisha hili.
Malijendi wakoshwa na kiwango CHAN MASHINDANO ya msimu huu ya Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN 2024) yametajwa kuwa bora zaidi kiushindani na wajumbe wa masuala ya kiufundi ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF TSG) na...
CHAN 2024: CAF yazuia wapigaji Uganda WAKATI timu ya taifa ya Uganda Cranes ikijiandaa kwa mechi ya nusu fainali ya CHAN 2024 dhidi ya Senegal, Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limechukua hatua ya kupunguza idadi ya tiketi ambazo...
Chelsea inavyopambana kumnasa Garnacho Man United CHELSEA imeongeza jitihada kumsajili mshambuliaji wa Manchester United na timu ya taifa ya Argentina, Alejandro Garnacho, 21, kutoka Manchester United dirisha hili.
Martinez ni yeye tu KOCHA Ruben Amorim wa Manchester United ameshindwa kuwashawishi mabosi kumsajili kipa Emiliano Martinez, imeelezwa.
Namba zaibeba Stars, hesabu za robo zikianza KATIKA msimu huu wa mashindano ya mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN 2024), takwimu zimeonyesha kuwa timu ya taifa la Tanzania ‘Taifa Stars’ ndio timu iliyofanya vizuri zaidi katika...
Diaz afunguka kutua Bayern STAA Luis Diaz amesema amezungumza na kiungo ghali wa Liverpool, Florian Wirtz kuhusu Bundesliga kabla ya kukubali dili la kujiunga na Bayern Munich
Nondo 7 za Stars kuiondosha Morocco CHAN 2024 KUFUATIA Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kufuzu kwa mara ya kwanza hatua ya robo fainali ya michuano ya CHAN 2024, mjadala umeibuka kuhusu kikosi hicho kinakwenda kuikabili vipi Morocco...
Salah kabeba tuzo yake huko SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah amekuwa mchezaji wa kwanza kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka wa Chama cha Wanasoka wa kulipwa England mara tatu.
Newcastle yamjibu Isak, mambo yazidi kutibuka NEWCASTLE United imemjibu mshambuliaji wao wa kimataifa wa Sweden, Alexander Isak baada ya staa huyo kutoa tamko zito kupitia mitandao ya kijamii.