Vunja Mbavu: Zaa-Hela: Soka la bongo bila Wema Sepetu haiwezekani Aliyekuwa kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera alitimuliwa na klabu hiyo wiki chache zilizopita baada ya kuifundisha kwa msimu mmoja na miezi mitatu ya msimu wa pili klabuni hapo.
Dogo Paten na radio ile ni stori kuhusu mazoea Siku moja mimi na mwandishi mwenzangu tulikuwa tunamuhoji msanii mkongwe wa kike wa muziki. Ilikuwa ni kwa ajili ya moja ya shoo zake za kutimiza miaka kadhaa kwenye gemu. Akaja ofisini...
Mwandishi wa Mwanaspoti aibuka mwandishi bora wa Ligi Daraja la tatu Mwanza Mwakilishi Kampuni ya Mwananchi Communications Limited inayozalisha magazeti ya Mwananchi, Mwanaspoti na The Citizen mkoa wa Mwanza, Damian Masyenene ametunukiwa tuzo ya Mwandishi Bora wa...
Mwandishi wa Mwanaspoti ashinda Tuzo Gazeti la Mwanaspoti ni miongozi mwa magazeti yanayochapishwa katika Kampuni ya Mwananchi Communications LTD ambayo pia inazalisha magazeti mengine ya Mwananchi na The Citizens.
Maradona amchapa konde mwandishi wa habari Mexico Kocha wa timu ya Dorados, Diego Maradona aliamua kurusha ngumi kwa mwandishi wa habari aliyetaka kumpiga picha.
HISIA ZANGU: Ugonjwa wa kumlaumu Mbwana Samatta utakwisha lini? MARA baada ya kumalizika kwa pambano kati ya Tanzania dhidi ya Berlin pale Uwanja wa Mkapa- Temeke, mwandishi mmoja asiyejitambua alimfuata Mbwana Samatta na kumuuliza swali. “Mashabiki...
Waandishi wamuaga Joyce Mmasi Dar Mamia ya waombowaombolezaji pamoja na waandishi wa michezo wamejitokeza kuaga mwili wa aliyekuwa Mwandishi mwandamizi wa gazeti la Mwananchi, marehemu Joyce Mmasi.
Kocha Simba: Sitaki masihara >Kocha huyo, ambaye anachukua mikoba iliyoachwa wazi na Abdallah Kibadeni na Jamhuri Kihwelu amefanya mahojiano ya moja kwa moja na Mwanaspoti akiwa kwao Croatia. Fuatilia mahojiano haya:
Mwandishi Mwananchi, Sharon Sauwa afariki dunia Mwanahabari mwandamizi wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Sharon Sauwa amefariki dunia alfajiri ya kuamkia Jumanne Agosti 19, 2025 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya...
Mwandishi Mwanaspoti atunukiwa cheti cha shukrani Cheti hicho amekabidhiwa na Mwenyekiti wa ARAFA, Daud Mnongya mapema leo Jumatano, huku mwenyekiti huyo akisema wametambua juhudi za Nevumba wanayemtaja kuwa ni sehemu ya kukua kwa mchezo huo na...