Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Iman Makongo Mwandishi Bora wa Michezo Tanzania

Muktasari:

Imani ameshinda Tuzo hiyo kupitia habari yake ya  maisha ya wanariadha wa mikoa ya Singida na Manyara .

Mwandishi wa Habari wa Mwanaspoti, Iman Makongoro ameshinda Tuzo ya Habari za Michezo Sanaa na Utamaduni kwa mwaka 2017.

Imani ameshinda Tuzo hiyo kupitia habari yake ya  maisha ya wanariadha wa mikoa ya Singida na Manyara .

Mwandishi huyo ameandika namna ambavyo wanatoka kwenye mazingira magumu ya maisha lakini wameweza kuwa mastaa nchini na duniani kwa ujumla.

Baadhi ya wanariadha hao ni  Samson Ramdhani na Alphonce Felix Simbu.

Gazeti la Mwanaspoti ni la michezo na miongozi mwa magazeti yanayochapishwa katika Kampuni ya Mwananchi Communications LTD ambayo pia inazalisha magazeti mengine ya Mwananchi na The Citizens.