Nusu fainali WAFCON inasubiri maajabu mengine
Muktasari:
- Tayari miamba hiyo imefuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Brazil 2027, hivyo hazina presha na sasa zinachuana kuania ubingwa wa michuano hiyo ambayo bingwa mtetezi ilikuwa Nigeria na ilitolewa hatua ya robo fainali na Cameroon kwa kuchapwa bao 1-0.
Tayari miamba hiyo imefuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Brazil 2027, hivyo hazina presha na sasa zinachuana kuania ubingwa wa michuano hiyo ambayo bingwa mtetezi ilikuwa Nigeria na ilitolewa hatua ya robo fainali na Cameroon kwa kuchapwa bao 1-0.
Tayari miamba hiyo imefuzu fainali za Kombe la Dunia zitakazofanyika Brazil 2027, hivyo hazina presha na sasa zinachuana kuania ubingwa wa michuano hiyo ambayo bingwa mtetezi ilikuwa Nigeria na ilitolewa hatua ya robo fainali na Cameroon kwa kuchapwa bao 1-0.
Morocco ambayo ni mwenyeji wa michuano hiyo, inaingia kwenye mechi hiyo ikiwa na kumbukumbu nzuri na morali kubwa baada ya kuwatoa mabingwa wa zamani wa kombe hilo, Afrika Kusini kwa mabao 2-1, katika robo fainali.
Mechi ya Algeria dhidi ya Malawi ni nyingine inayosubiriwa kwa hamu kuona kama Malawi itaendeleza maajabu yao katika fainali hizo baada ya kuishangaza dunia kutokana na ubora wao.
Malawi ni timu pekee ambayo imeshiriki kwa mara ya kwanza na kufika nusu fainali pamoja na kufuzu kombe la dunia, hali inayoongeza msisimko kwa mashabiki kuona kama itafuzu fainalina kuandika historia nyingine.
Malawi ilimaliza katika kundi C ikiwa kileleni baada ya kuifunga Nigeria mabao 3-2, kisha ikapoteza kwa mabao 3-1, kabla ya kujihakikihsia kufuzu rob0 fainali kwa kuichapa Misri mabao 2-1.
Algeria inaingia katika mchezo huo ikiwa na lengo la kuendeleza kile ilichokianza kwenye makundi ikimaliza nafasi ya pili kundi A, na iliichapa 2-0 Senegal, ikapoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Morocco kisha