Dili la Miquissone, Simba lanoga! HUKO mtaani, mashabiki wa Simba wanaliimba jina la nyota wa zamani wa timu hiyo, Luis Miquissone wakitaka arejeshwe, kisi cha kuwafanya mabosi wa klabu hiyo kukuna kichwa na kupiga hesabu ndefu...
Makipa watatu wajadiliwa Simba BAADA ya kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula kufanyiwa upasuaji wa nyama za paja utakaomweka nje kwa miezi minne, haraka mabosi wa Msimbazi wameanza kusaka kipa mpya na hadi sasa mezani kwao...
Siri chozi la Nabi, asimulia kila kitu KIKOSI cha Yanga kimerejea nchini jana usiku kilianza safari kutoka Dar usiku kwenda jijini Mbeya, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi akifichua siri ya chozi lake. Nabi alimwaga chozi...
Azam yapitisha panga shwaaa! KIKOSI cha Azam FC kipo jijini Tanga kwa ajili ya pambano la Ligi Kuu Bara dhidi ya wenyeji Coastal Union, huku ikielezwa mabosi wa klabu hiyo wakishirikiana na benchi la ufundi limeanza...
Maftah amuuma sikio Tshabalala BEKI wa zamani wa kushoto wa kimataifa aliyewahi kuwika na Yanga, Simba na Taifa Stars, Amir Maftah amemuuma sikio beki na nahodha msaidizi wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kama kuna timu...
Yanga yaharibu hali ya hewa, Mbeya City hali tete Sare ya mabao 3-3 iliyopata Mbeya City leo Jumanne Juni 6 dhidi ya Yanga imezidi kuwaweka katika hali mbaya kwenye msimamo wa Ligi Kuu. Sare hiyo imeifanya Mbeya City kufikisha alama 31 huku...
JICHO LA MWEWE: Machozi ya Nabi katika mwisho wa kiume wa Yanga Algeria MWISHONI kabisa tulimwona Kocha Nasreddine Nabi akitoa machozi. Ni nadra kwa mwanamume kulia. Tunaambiwa tulie kwa ajili ya kuipa mioyo yetu nafuu lakini hatufanyi hivyo. Nabi alilazimika kufanya...
Wachungaji wakipata cha moto TIMU ya wachungaji ya Mombasa West Pastors FC walishindwa kueneza neno kwa wazee wa Chaani Youth Parents walipochezea kichapo cha mabao 3-2 kwenye mechi ya kirafiki iliyochezwa uwanja wa kisasa...
Nigeria nayo yang'oka Kombe la Dunia U20 WAWAKILISHI pekee wa Afrika waliokuwa wamesalia kwenye Fainali za Kombe la Dunia la Vijana U-20, Nigeria imeng'olewa na Korea Kusini katika mechi ya robo fainali. Mechi hiyo iliyopigwa jana...