PRIME MTU WA MPIRA: Waamuzi wanakosea makusudi au hawajui? LIGI Kuu Bara ni namba tano kwa ubora Afrika nzima. Ni heshima kubwa sana. Ni historia kubwa kwa nyakati hizi. Haijalishi nani alitoa takwimu hizi, ila ukweli ni kwamba kwa sasa Ligi ya Tanzania...
PRIME WAJE TUONE: Wanasubiriwa kwa hamu Ligi Kuu England LIGI Kuu England inaelekea ukingoni, ikiwa imebakiza miezi michache kufika tamati na sasa mipango ya makocha imeshaanza kuelekezwa kwenye usajili wa mastaa wapya kwa ajili ya msimu ujao.
PRIME Siku saba za maajabu Dabi ya Kariakoo DABI ya Kariakoo bado ina kipengele. Hakuna anayejua kama itapigwa au la hiyo Juni 15. Hii ni kwa sababu ya msimamo wa Yanga juu ya kuisusia mechi hiyo ambayo awali ilikuwa ipigwe Machi 8.
Chelsea sasa inamtaka Alejandro Garnacho BAADA ya mazungumzo ya awali yaliyofanyika Januari mwaka huu baina ya wawakilishi wa Chelsea a wasimamizi wa winga wa Manchester United na timu ya taifa ya Argentina, Alejandro Garnacho, mwenye...
Beki Yanga azungumzia ishu ya kutumia dawa za kulevya JUA linawaka polepole katika viunga vya Kianga, Unguja, Zanzibar kwenye kona ya uwanja wenye majani yaliyonawiri
Ballon d’Or 2025 ipo kwa watu hawa KAMA ulidhani ushindani wa Ballon d'Or haupo tena baada ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo kuondoka utakuwa umejidanganya sana, tuzo hiyo haijawahi kudoda.
PRIME Kinachoendelea kwa watoto wa wanasoka maarufu Rooney, Ronaldo WANASEMA mtoto wa nyoka ni nyoka. Na hicho ndicho tunachokisubiri kwa watoto wa masupastaa wa mpira wa miguu, Wayne Rooney na Cristiano Ronaldo.
Sead Ramovic katika mechi ya kisasi Dar TAYARI Kocha Mkuu wa Yanga, Sead Ramovic amepiga mkwara mzito akisema kwamba kwenye timu yake hataki kuona mpinzani anapumua. Yaani anataka kuona wachezaji wake wakigusa mpira wanaachiana huku...
PRIME Siri nyuma ya viatu vya mastaa NBA UNAZIJUA sneaker? Hivi ni viatu vya wachezaji wa NBA. Ndiyo, wachezaji wa Ligi ya Kikapu Marekani (NBA), mara nyingi huvaa viatu vya hali na hadhi ya juu (high-top sneakers) kwenye matangazo yao...
JIWE LA SIKU: Yanga hii jaeni kwenye boksi, mnakufa Baharini mashambulizi ya papa ndiyo ya hatari zaidi, lakini kwenye viwanja vya soka, mashambulizi ya Yanga msimu huu yameonekana kuwapa matatizo mengi wapinzani wao.