MTU WA MPIRA: Azam FC ina shida gani? GHAFLA sana Azam FC imeondoka kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Ghafla sana wakati ndio kwanza mambo yameanza kuchanganya. Azam imeondoka kwenye mbio za ubingwa mapema kuliko ilivyotarajiwa.
MTU WA MPIRA: Sakata la Feisal tunajitekenya na kucheka wenyewe ACHANA na zile propaganda za mama yake Feisal Salum ‘Fei Toto’ kwamba Fei alikuwa akila ugali kwa sukari pale Yanga. Ni propaganda za ajabu hivi. Sijui ni nani alimwongopea mama yale maneno.
Mo Salah, Kane watakavyochuana kubadili msimamo wa vinara wa mabao SUPASTAA wa Liverpool, Mohamed Salah amepanda kwa kasi kwenye orodha ya vinara wa mabao wa muda wote kwenye Ligi Kuu England, shukrani kwa kasi yake ya kutupia nyavuni karibu katika kila mechi...
PRIME Yanga yashtukia jambo usajili wa mastaa, yaweka akili mpya TAKRIBANI siku 15 zimekatika tangu kufunguliwa kwa dirisha la usajili hapa nchini, mabingwa wa kihistoria wa Ligi Kuu Bara, Yanga SC wameshtukia jambo na kuamua kuchukua hatua za...
PRIME Mo Dewji amechafua hali ya hewa KWA mara nyingine mwekezaji wa Simba, Mohamed ‘MO’ Dewji ameibuka tena kuzungumzia ufadhili kwa klabu hiyo kongwe, akisema katika kipindi cha kuanzia mwaka 2017 ameshatoa zaidi ya Sh80 bilioni...
Madrid, Liverpool yafungua mazungumzo dili la Rodrygo LIVERPOOL wamefanya mazungumzo ya awali na Real Madrid kuhusu winga wa klabu hiyo na timu ya taifa ya Brazil Rodrygo, mwenye umri wa miaka 24. Mabosi wa Liverpool wanamwangalia fundi huyu kama...
SIO POA... Hadithi, vifo, rekodi vyatawala PSG ikibeba ndoo WIKIENDI iliyopita lilifungwa rasmi pazia la Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo PSG ilitwaa taji hilo baada ya kuichapa Inter Milan kipigo kitakatifu cha mabao 5-0.
Simba katika fainali baada ya siku 11,494 SIMBA inashuka uwanjani usiku wa leo ikiwa ugenini kuvaana na RS Berkane ya Morocco katika mechi ya kibabe ya fainali inayopigwa Uwanja wa Manispaa ya Mji wa Berkane, nchini humo.
PRIME Kufuru, huu hapa mshahara wa Ibenge Azam MAMBO ni bambam kwa Wanalambalamba Azam FC baada ya kumalizana na aliyekuwa kocha mkuu wa Al Hilal Omdruman ya Sudan, Florent Ibenge, inayokipiga katika Ligi Kuu Mauritania kwa sasa, kwani...
KUNA KITU! Mastaa wa Ligi ya Ureno walivyonaswa na klabu za EPL ARSENAL inakaribia kwenye dili la kumsajili straika wa Sporting CP, Viktor Gyokeres.