Simba, Yanga zinavyobadilika kiufundi Klabu ya Yanga juzi ilimtambulisha kocha wake mpya Sead Ramovic kuchukua nafasi ya Miguel Gamondi ambaye amefungashiwa virago baada ya kukaa Jangwani zaidi ya mwaka mmoja.
PRIME Diarra, Camara mwanzo mpya KWA miaka mingi iliyopita katika soka, makipa walichukuliwa kuwa na kazi moja tu, nayo ni kuzuia mpira usiingie wavuni.
PRIME DUH! Dili la Mzize unanunua uwanja wa KMC na chenji inabaki AKIWA ndio kwanza ameitumikia Yanga kwa misimu miwili na nusu tu, mabilioni ya pesa yanamuita Clement Mzize, akiwindwa na klabu kadhaa ikiwamo ofa mpya nono kutoka Al Ittihad ya Libya.
NIONAVYO: Ukiacha ushindani... Yanga, Simba ni utalii tosha kwa mashabiki DABI ya Kariakoo hutawaliwa na mbwembwe kabla ya mchezo. Ni mchezo ambao kila kitu siku hiyo husahaulika ikiwamo mechi za kimataifa inazoshiriki timu hizo, kama ilivyokuwa Jumamosi ya Oktoba 19...
PRIME Kibabe zaidi... Yanga na rekodi tamu Kombe la Shirikisho (FA) UNAIKUMBUKA ile mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) iliyopigwa Julai 25, 2021 kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika, mjini Kigoma?
PRIME WANA KITU! Masupastaa hawa piga ua majina yao yatachomoza Ballon d’Or 2025 VINICIUS Junior anakabiliwa na ushindani mkali kwenye vita ya kushinda tuzo ya Ballon d’Or 2025.
HAINA KUFELI: Soka limeokoa maisha ya mastaa hawa SOKA ni moja ya michezo inayolipa sana. Wanasoka wengi wamebadilisha maisha yao kutokana na mchezo huu. Wapo waliotokea katika maisha tofauti na wanatengeneza pesa kutokana na soka.
PRIME Sababu tatu zilizoiangusha Yanga CAS MABOSI wa Yanga inaelezwa jana waliitana na kujifungia ili kujadili hukumu ya kesi waliyoifungua Mahakama wa Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS), iliyotupiliwa mbali, huku zikitajwa sababu...
Wanasoka maarufu waliozomewa na mashabiki wao uwanjani BEKI wa kulia, Mwingereza Trent Alexander-Arnold ameingia kwenye orodha ya wanasoka waliowahi kuzomewa na mashabiki wao wenyewe wakati alipoingia kutokea benchini kwenye mechi ya Ligi Kuu...
Namba 9 bora England hawa hapa LONDON, ENGLAND: NANI straika bora kwenye Ligi Kuu England kwa sasa? Alexander Isak amehusika moja kwa moja kwenye mabao 29 kwenye ligi msimu huu, akifunga mara 23 na kuasisti mara sita. Yupo...