Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

DUH! Dili la Mzize unanunua uwanja wa KMC na chenji inabaki

Muktasari:

  • Straika huyo zao la timu ya vijana ya Yanga, anatakiwa na klabu hiyo kwa ada ya uhamisho ya Sh3 bilioni, huku ada yake binafsi ya kusaini mkataba (sign-on fee) ni zaidi ya Sh 1.3 bilioni kwa miaka miwili, hiyo ni mbali na mshahara wa Sh50 milioni (ambao kwa miaka miwili atavuna Sh1.2 bilioni).