Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

10009 results for Mwandishi :

  1. Kwa Azam hii sajilini mabeki na kipa

    AZAM FC inaendelea na kambi yake ya maandalizi ya msimu mpya hapa Sousse nchini Tunisia na Kocha Yousouph Dabo anatoa dozi ya hatari. Moja kati ya maeneo ambayo Dabo kayatolea sana macho ni safu...

  2. Wajue wapinzani wa Simba, Yanga kimataifa

    DROO ya raundi ya kwanza na pili ya mashindano ya Klabu Afrika msimu wa 2022/2023 imepangwa juzi huko Cairo, Misri ambapo timu zitakazoiwakilisha Tanzania zimeshafahamu wapinzani wake. Ukiondoa...

  3. Watapigwa kama ngoma!

    KIKOSI cha Simba, kinatarajiwa kushuka uwanjani kuanzia saa 1:00 usiku leo ili kuikabili Vipers ya Uganda kwenye mechi ya Kundi C ya Ligi ya Mabingwa Afrika, huku ikiwa na kazi mbili muhimu ya...

  4. PRIME Hapa Simba ishindwe wenyewe tu

    SIMBA ina kibarua cha kufanya usajili wa idadi kubwa ya wachezaji kulinganisha na Yanga na Azam FC, lakini ina faida moja ambayo ikiitumia vyema inaweza kuwazidi kete wahindani wake hao...

  5. Kwani mlitakaje?

    YANGA jana ilionja kipigo cha kwanza kwenye Ligi Kuu Bara baada ya kufungwa mabao 2-1 na Ihefu kwenye mechi kali iliyopigwa Uwanja wa Highland Estate, jijini Mbeya, huku mashabiki wa timu hiyo...

  6. Kilichomng’oa Manara Simba hiki hapa

    MWISHO wa zama. Kama utani Haji Manara leo hii amebaki kuwa mwanachama na shabiki tu wa Simba, baada ya kupigwa chini na nafasi yake kupewa aliyekuwa ofisa habari na kaimu katibu mkuu wa klabu...

  7. MZEE WA UPUPU: Azam FC wamebadilika, Mbombo na Hamahama ni shida

    TANGU ujio wa kocha mpya wa Azam FC, Abdihamid Moallin, timu hiyo imekuwa tofauti kabisa. Inacheza soka safi, inapata matokeo na inafunga mabao mengi. Kabla ya Moallin, Azam FC ilikuwa haijawahi...

  8. Wazito FC waachilia majembe sita

    Siku moja tu baada ya dirisha Dogo la uhamisho la Ligi Kuu ya FKFPL kufungwa ,Wazito Fc kupitia kurasa zao za kijamii wametangaza rasmi kuondoka kwa wachezaji Sita kwenye timu Hiyo. Timu Hiyo...

  9. Si mchezo, kwa makipa hawa Azam, kina Mayele, Phiri kazi wanayo

    KAMBI ya Azam FC mjini El Gouna, Misri ipo katika siku ya nne leo Jumanne, huku mambo yakizidi kunoga kidogokidogo, ambapo kila kocha amekwishaanza kuwanoa watu wake. Azam FC ina makocha na...

  10. Haji Manara na hadithi ya tikiti maji

    HABARI ya mjini kwa sasa ni Haji Manara. Kitendo chake cha kutua Yanga akitokea Simba, huku akiwa mmoja ya watu waliokuwa wakiwanyima raha Wanajangwani, imezua mijadala mingi nchini na kushangaza...

Previous

Page 931 of 1001

Next