JIWE LA SIKU: Ule ubabe wa Yanga, Simba ndio huu sasa! nchi si suala dogo na kitu kingine nilichokiona kwenye jengo hilo kinakupa taswira ya jinsi klabu hizi zimekuwa na unyumbulifu kutoka kizazi hadi kingine. Ili kupambana na changamoto za wakati huo...
NIONAVYO: Afcon 2027 inagonga hodi, mlango uko wazi? jukumu la watu wa ufundi na ni jukumu linalohitaji muda kulifanikisha. Bahati mbaya muda hauko upande wetu. Mwandishi wa makala hii ni Katibu Mkuu mstaafu wa Shirikisho la Soka Tanzania...
PRIME Mabinti wa wanasoka wanaopiga pesa ndefu kwa mwaka kampuni yake ya mavazi, mrembo Gemma anaripotiwa kuingiza Pauni 1.5 milioni kwa mwaka, ambayo ni zaidi ya Sh4.6 bilioni. Na amekuwa akifanya kazi ya utangazaji pia kwenye televisheni. Hollie...
NIONAVYO: Mitatu ya Samia, michezo imenoga maendeleo ya michezo kupitia wizara ya michezo na ile ya Tamisemi inahitaji kuongezeka ili kusukuma mbele programu za vijana, mafunzo, vifaa na miundombinu. Kwa mapenzi, nia na hatua anazochukua...
Kijiwe cha Salim Said Salim: Hii ndio asili ya hat trick nini maana ya hat trick. Tulikuwa watu zaidi ya 20 katika mkutano, thuluthi nusu yake wazungu kutoka Uingereza, Ireland, New Zealand na Australia. Miongoni mwao tulikuwepo waandishi wa michezo...
Yanga vs Simba; hii huwezi kuikuta sehemu nyingine klabu hizo, usajili wa wachezaji wageni wanaotamba kama Fiston Mayele na Aziz Ki kwa Yanga na Moses Phiri na Augustine Okrah kwa Simba kunazidisha kiwewe kwa mashabiki na kuifanya mechi iwe na...
KISIWA CHA MAUTI – Sehemu ya 1 Kwa upande wa huku Bara, nilifahamika sana kwa jina la Masha. Kwa kule kwetu Zanzibar, jina lililozoeleka ni Zahrani. Ni mzaliwa wa kisiwa cha Pemba. Nilizaliwa Pemba. Nilisomea Pemba. Na huku Bara...
KISIWA CHA MAUTI - 15 kuwa nimeua,” nikasema. “Wewe ni mwandishi bwana! Hebu rekebisha maneno yako. Wewe umeua, si kwamba umeambiwa kuwa umeua. Ulikodi chumba au hukumkodi?” “Sikukodi.” “Umeua au hukuua?”...
KISIWA CHA MAUTI – Sehemu ya 5 aliposikia anatafutwa na mwandishi wa habari ameingia uoga, hajui ataulizwa nini” “Inaelekea ni mtu ambaye anaishi kwa wasiwasi. Anajua wakati wowote vyombo vya habari vinaweza kumfichua.
Mwinjuma awaita wadau wa michezo Naibu Waziri Wa Utamaduni, Sanaa Na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA), mwishoni mwa wiki alipamba msimu wa kwanza wa Tamasha la Bima Festival lililoratibiwa na benki ya Exim Tanzania huku...