MJUAJI: Hii ndio Simba ya 1993 na maajabu yake KUMBUKA nilishaandika hapa, Simba ilikuwa imetoka Kampala, Uganda baada ya kutolewa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (sasa Kombe la Kagame). Mwaka 1993, Simba ilienda...
Vita ya Mayele, Saido yahamia Tanga HUKO mtaani hadi sasa mjadala ni ishu ya Tuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara, baada ya Fiston Mayele wa Yanga na Saido Ntibazonkiza wa Simba kufungana kwa kila mmoja kufunga mabao 17, huku...
PRIME Sababu kwanini Mgunda anatosha Simba Mashabiki wa Simba wamepata mzuka upya wakiwa na matumaini makubwa kwa kocha wa timu hiyo Juma Mgunda ambaye anasaidiana na Selemani Matola. Mgunda ambaye alikuwa timu ya Wanawake Simba Queens...
JIWE LA SIKU: Haina haja ya kupaniki, timu mbovu haichezi robo fainali CAF SIMBA juzi imepoteza mechi ya pili ya Ligi Kuu Bara dhidi ya mahasimu wao msimu huu kwa jumla ya mabao 7-2 ikimuachia mtani pointi zote sita. Kipigo cha juzi cha 2-1 kinafuatia kipigo cha 5-1...
Huu ndo ukweli wa ngoma ya Kasongo! 'KASONGO ye yeee, mobali na ngai... Kasongo nga nawe ooh.... Zonga libala eeh...' Hiki ni kibwagizo cha wimbo maarufu wa zamani wa Kasongo, ambao kwa siku za hivi karibuni ndani na nje ya nchi...
Simba, Yanga kupitisha fagio la chuma Duru za kispoti zimeliambia Mwanaspoti kwamba kuna fagio la chuma litaanza kupita Simba na Yanga kwenye kipindi kisichozidi wiki moja kuanzia leo. Ni fagio ambalo huenda likawa na sapraizi ambazo...
PRIME MZEE WA FACT: Kuna filamu kuhusu maisha ya Simba, Azam Leo ni siku ya Mzizima Dabi, Simba SC atawakaribisha matajiri wa Chamazi, Azam FC Uwanja wa Mkapa kuanzia saa 10 jioni.
PRIME BALAA! Tishio jipya afya za mastaa Ligi Kuu bara LIGI Kuu Bara ipo ukingoni kabla ya kufikia tamati, huku zikiwa zimeshapigwa mechi 210 ikiwamo iliyochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam kati ya wenyeji Simba na Mashujaa...
PRIME WATATOBOA, HAWATOBOI: Kila mmoja ana msala wake Ligi Kuu England MSIMU wa Ligi Kuu England unaelekea ukingoni huku Liverpool ikijiweka kwenye wakati mzuri wa kunyakua taji lao la pili la michuano hiyo.
Nani kaingia, katoka dirisha la usajili likifungwa England KLABU za Ligi Kuu England zimekaribia kuvunja rekodi ya matumizi ya Pauni 3 bilioni kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.