Nani kaingia, katoka dirisha la usajili likifungwa England
Muktasari:
- Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England ndiyo waliotumia pesa nyingi zaidi, ikisajili kwa Pauni 426 milioni kunasa mastaa wapya kwenye dirisha hili.
LONDON, ENGLAND: KLABU za Ligi Kuu England zimekaribia kuvunja rekodi ya matumizi ya Pauni 3 bilioni kwenye dirisha hili la uhamisho wa majira ya kiangazi.
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu England ndiyo waliotumia pesa nyingi zaidi, ikisajili kwa Pauni 426 milioni kunasa mastaa wapya kwenye dirisha hili.
Liverpool ilivunja rekodi ya uhamisho ya Uingereza wakati ilipomasa kiungo Florian Wirtz kwa ada ya Pauni 116.5 milioni kabla ya kuvunja rekodi yao tena katika siku ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha la usajili, ilipomsajili straika Alexander Isak kutoka Newcastle United kwa ada ya Pauni 130 milioni.
Kuna klabu nyingine zimetumia zaidi ya Pauni 200 milioni kwenye usajili, ikiwamo Chelsea, Newcastle United, Arsenal, Manchester United na Nottingham Forest. Man United ilitumia pesa nyingi kwenye kuboresha safu ya ushambuliaji ili kuwa na kikosi chenye ushindani tena, ilipowanasa Benjamin Sesko, Bryan Mbeumo na Matheus Cunha.
Kwenye Ligi Kuu England kuna timu sita tu ambazo zimetumia chini ya Pauni 100 milioni kwenye dirisha hili la majira ya kiangazi, ikiwamo Wolves, Aston Villa, Brentford, Crystal Palace, Brighton na Burnley.
Kutokana na hilo, hii hapa orodha ya mastaa walioingia na kutoka kwenye usajili wa majira ya kiangazi lililofungwa usiku wa Jumatatu, Septemba 1, 2025.
ARSENAL
Walioingia
Kepa Arrizabalaga - Chelsea, Pauni 5milioni
Martin Zubimendi - Real Sociedad, Pauni 51milioni
Christian Norgaard - Brentford, Pauni 15milioni
Noni Madueke - Chelsea, Pauni 52milioni
Cristhian Mosquera - Valencia, Pauni 13milioni
Viktor Gyokeres - Sporting, Pauni 63.5milioni
Eberechi Eze - Crystal Palace, Pauni 67.5milioni
Piero Hincapie - Bayer Leverkusen, mkopo
Waliotoka
Jorginho - Flamengo, bure
Kieran Tierney - Celtic, bure
Nuno Taveres - Lazio, Pauni 4.3milioni
Marquinhos - Cruzeiro, ametemwa
Takehiro Tomiyasu - ametemwa
Thomas Partey - ametemwa
Ismael Kabia - Shrewsbury, mkopo
Albert Sambi Lokonga - Hamburg, imefichwa
Fabio Vieira - Hamburg, mkopo
Jakob Kiwior - Porto, loan
Oleksandr Zinchenko - Nottingham Forest, mkopo
Reiss Nelson - Brentford, mkopo
Lucas Martin Nygaard - Brabrand IF, mkopo
ASTON VILLA
Walioingia
Yasin Ozcan - Kasimpasa, imefichwa
Zepiqueno Redmond - Feyenoord, bure
Marco Bizot - Brest, imefichwa
Modou Keba Cisse - LASK, imefichwa
Evann Guessand - Nice, Pauni 28milioni
Victor Lindelof - huru
Jadon Sancho - Man Utd, mkopo
Harvey Elliott - Liverpool, mkopo
Waliotoka
Modou Keba Cisse - LASK, mkopo
Enzo Barrenechea - Benfica, mkopo
Robin Olsen - ametemwa
Rico Richards - Port Vale, imefichwa
Josh Feeney - Huddersfield, mkopo
Kaine Kesler Hayden - Coventry, Pauni 3.5milioni
Philippe Coutinho - Vasco de Gama, imefichwa
Kortney Hause - ametemwa
Oliwier Zych - Rakow Czestochowa, mkopo
Kosta Nedeljkovic - RB Leipzig, mkopo
Louie Barry - Sheffield United, mkopo
Joe Gauci - Port Vale, mkopo
Jacob Ramsey - Newcastle, Pauni 43milioni
Lewis Dobbin - Preston, mkopo
Alex Moreno - Girona, imefichwa
Samuel Iling-Junior - West Brom, mkopo
Zepiqueno Redmond - Huddersfield, mkopo
BOURNEMOUTH
Walioingia
Bafode Diakite - Lille, Pauni 35milioni
Djordje Petrovic - Chelsea, Pauni 25milioni
Adrien Truffert - Rennes, Pauni 14.4milioni
Ben Gannon Doak - Liverpool, Pauni 25milioni
Amine Adli - Bayer Leverkusen, Pauni 25milioni
Veljko Milosavljevic - Red Star Belgrade, imefichwa
Alex Jimenez - AC Milan, mkopo
Waliotoka
Illia Zabarnyi - PSG, Pauni 54.5milioni
Milos Kerkez - Liverpool, Pauni 40milioni
Dean Huijsen - Real Madrid, Pauni 50milioni
Jaidon Anthony - Burnley, Pauni 10milioni
Mark Travers - Everton, Pauni 4milioni
Daniel Jebbison - Preston, mkopo
Max Aarons - Rangers, mkopo
Joe Rothwell - Rangers, imefichwa
Neto - Botafogo, imefichwa
Dango Ouattara - Brentford, Pauni 42milioni
Alex Paulsen - Lechia Gdansk, mkopo
Ben Winterburn - Barnet, mkopo
BRENTFORD
Walioingia
Michael Kayode - Fiorentina, Pauni 14milioni
Romelle Donovan - Birmingham, imefichwa
Caoimhin Kelleher - Liverpool, Pauni 18milioni
Antoni Milambo - Feyenoord, Pauni 18.8milioni
Jordan Henderson - Ajax, bure
Dango Ouattara - Bournemouth, Pauni 42milioni
Reiss Nelson - Arsenal, mkopo
Waliotoka
Bryan Mbeumo - Man Utd, Pauni 71milioni
Christian Norgaard - Arsenal, Pauni 15milioni
Mark Flekken - Bayer Leverkusen, Pauni 11milioni
Ben Mee - ametemwa
Tony Yogane - Dundee, mkopo
Mads Roerslev - Southampton, imefichwa
Yoane Wissa - Newcastle, Pauni 55milioni
BRIGHTON
Walioingia
Maxim De Cuyper - Club Brugge, Pauni 17.3milioni
Olivier Boscagli - PSV Eindhoven, bure
Diego Coppola - Hellas Verona, Pauni 9milioni
Tom Watson - Sunderland, Pauni 10milioni
Yoon Doyoung - Daejeon Hana Citizen, imefichwa
Charalampos Kostoulas - Olympiacos, Pauni 31.4milioni
Nils Ramming - Eintracht Frankfurt, Pauni 725,000
Waliotoka
Evan Ferguson - Roma, mkopo
Simon Adingra - Sunderland, Pauni 20.5milioni
Joao Pedro - Chelsea, Pauni 60milioni
Pervis Estupinan - AC Milan, Pauni 17.4milioni
James Beadle - Birmingham, mkopo
Valentin Barco - Strasbourg, imefichwa
Odel Offiah - Preston, Pauni 1.5milioni
Ibrahim Osman - Auxerre, mkopo
Mark O'Mahony - Reading, mkopo
Amario Cozier-Duberry - Bolton, mkopo
Kjell Scherpen - Union Saint-Gilloise, imefichwa
Eiran Cashin - Birmingham, mkopo
Kamari Doyle - Reading, mkopo
Malick Yalcouye - Swansea, mkopo
Abdallah Sima - Lens, Pauni 4milioni
Tariq Lamptey - Fiorentina, Pauni 6milioni
Igor Julio - West Ham, mkopo
BURNLEY
Walioingia
Kyle Walker - Man City, Pauni 5milioni
Loum Tchaouna - Lazio, Pauni 12milioni
Axel Tuanzebe - Ipswich, bure
Quilindschy Hartman - Feyenoord, imefichwa
Bashir Humphreys - Chelsea, Pauni 10milioni
Jaidon Anthony - Bournemouth, Pauni 8milioni
Marcus Edwards - Sporting CP, Pauni 8.5milioni
Zian Flemming - Millwall, Pauni 7milioni
Max Weiss - Karlsruher, Pauni 4.2milioni
Jacob Bruun Larsen - Stuttgart, imefichwa
Lesley Ugochukwu - Chelsea, imefichwa
Martin Dubravka - Newcastle, imefichwa
Armando Broja - Chelsea, imefichwa
Waliotoka
James Trafford - Man City, Pauni 31milioni
Josh Brownhill - ametemwa
Nathan Redmond - ametemwa
Jonjo Shelvey - ametemwa
CJ Egan-Riley - Marseille, bure
Andreas Hountondji - St. Pauli, mkopo
Han-Noah Massengo - Augsburg, imefichwa
Joe Westley - Dundee, imefichwa
Luca Koleosho - Espanyol, mkopo
CHELSEA
Walioingia
Jamie Gittens - Dortmund, Pauni 51.5milioni
Joao Pedro - Brighton, Pauni 60milioni
Liam Delap - Ipswich, Pauni 30milioni
Jorrel Hato - Ajax, Pauni 38.5milioni
Estevao Willian - Palmeiras, Pauni 29milioni
Dario Essugo - Sporting, Pauni 18.5milioni
Mamadou Sarr - RC Strasbourg, Pauni 12milioni
Kendry Paez - Independiente del Valle, Pauni 17.3milioni
Alejandro Garnacho - Man Utd, Pauni 40milioni
Waliotoka
Kendry Paez - Strasbourg, mkopo
Djordje Petrovic - Bournemouth, Pauni 25milioni
Bashir Humphreys - Burnley, Pauni 10milioni
Dylan Williams - Burton, imefichwa
Marcus Bettinelli - Man City, imefichwa
Kepa Arrizabalaga - Arsenal, Pauni 5milioni
Teddy Sharman-Lowe - Bolton, mkopo
Mathis Amougou - Strasbourg, imefichwa
Zak Sturge - Millwall, imefichwa
Noni Madueke - Arsenal, Pauni 52milioni
Caleb Wiley - Watford, mkopo
Mike Penders - RC Strasbourg, mkopo
Joao Felix - Al Nassr, Pauni 43.7milioni
Ishe Samuels-Smith - Strasbourg, Pauni 6.9milioni
Kiernan Dewsbury-Hall - Everton, Pauni 29milioni
Mamadou Sarr - Strasbourg, mkopo
Leo Castledine - Huddersfield, mkopo
Lesley Ugochukwu - Burnley, Pauni 23milioni
Armando Broja - Burnley, Pauni 20milioni
CRYSTAL PALACE
Walioingia
Walter Benitez - PSV Eindhoven, bure
Borna Sosa - Ajax, Pauni 3milioni
Yeremy Pino - Villarreal, Pauni 26milioni
Jaydee Canvot - Toulouse, imefichwa
Christantus Uche - Getafe, Pauni 17.3milioni
Waliotoka
Eberechi Eze - Arsenal, Pauni 67.5milioni
Rob Holding - Colorado Rapids, bure
Joel Ward - ametemwa
Jeffrey Schlupp - Norwich, bure
Louie Moulden - ametemwa
Owen Goodman - Huddersfield, mkopo
Joe Whitworth - Exeter, mkopo
Danny Imray - Blackpool, mkopo
David Ozoh - Derby, mkopo
Malcolm Ebiowei - Blackpool, imefichwa
EVERTON
Walioingia
Charly Alcaraz - Flamengo, Pauni 12milioni
Thierno Barry - Villarreal, Pauni 27milioni
Mark Travers - Bournemouth, Pauni 4milioni
Adam Aznou - Bayern Munich, Pauni 10milioni
Kiernan Dewsbury-Hall - Chelsea, Pauni 29milioni
Jack Grealish - Man City, mkopo
Tom King - Wolves, imefichwa
Tyler Dibling - Southampton, Pauni 42milioni
Merlin Rohl - Freiburg, mkopo
Waliotoka
Neal Maupay - Marseille, imefichwa
Jenson Metcalfe - Bradford, imefichwa
Matthew Apter - Cardiff, bure
Asmir Begovic - Leicester, bure
Luke Butterfield - Chesterfield, bure
Mason Holgate - Al-Gharafa, bure
Zan-Luk Leban - NK Celje, bure
Joao Virginia - Sporting CP, bure
Ashley Young - Ipswich, bure
Dominic Calvert-Lewin - Leeds, bure
Billy Crellin - ametemwa
Abdoulaye Doucoure - ametemwa
Youssef Chermiti - Rangers, Pauni 10milioni
Harrison Armstrong - Preston, mkopo
FULHAM
Walioingia
Benjamin Lecomte - Montpellier, imefichwa
Kevin - Shakhtar, Pauni 34.6milioni
Waliotoka
Andreas Pereira - Palmeiras, Pauni 8.7milioni
Carlos Vinicius - ametemwa
Willian - ametemwa
Luca Ashby-Hammond - ametemwa
Callum Osmand - Celtic, ametemwa
Steven Benda - Millwall, mkopo
Harvey Araujo - Colchester, mkopo
Martial Godo - Strasbourg, imefichwa
LEEDS
Walioingia
Anton Stach - Hoffenheim, Pauni 17.4milioni
Sebastiaan Bornauw - Wolfsburg, Pauni 5.1milioni
Lukas Nmecha - Wolfsburg, bure
Jaka Bijol - Udinese, Pauni 15milioni
Gabriel Gudmundsson - Lille, Pauni 10milioni
Sean Longstaff - Newcastle, Pauni 12milioni
Lucas Perri - Lyon, Pauni 15.6milioni
Dominic Calvert-Lewin - Everton, bure
Noah Okafor - AC Milan, Pauni 18milioni
James Justin - Leicester, Pauni 10milioni
Waliotoka
Josuha Guilavogui - ametemwa
Joe Snowdon - Swindon, bure
Junior Firpo - ametemwa
Max Wober - Werder Bremen, mkopo
Mateo Joseph - Mallorca, mkopo
Patrick Bamford - ametemwa
Sam Greenwood - Pogon Szczecin, imefichwa
LIVERPOOL
Walioingia
Milos Kerkez - Bournemouth, Pauni 40milioni
Florian Wirtz - Bayer Leverkusen, Pauni 116milioni
Jeremie Frimpong - Bayer Leverkusen, Pauni 29.5milioni
Giorgi Mamardashvili - Valencia, Pauni 29milioni
Hugo Ekitike - Eintracht Frankfurt, Pauni 79milioni
Armin Pecsi - Puskas Akademia, Pauni 1.5milioni
Freddie Woodman - Preston, bure
Giovanni Leoni - Parma, Pauni 26milioni
Alexander Isak - Newcastle, Pauni 130milioni
Waliotoka
Darwin Nunez - Al Hilal, Pauni 56.6milioni
Trent Alexander-Arnold - Real Madrid, Pauni 10milioni
Caoimhin Kelleher - Brentford, Pauni 18milioni
Jarell Quansah - Bayer Leverkusen, Pauni 35milioni
Luis Diaz - Bayern Munich, Pauni 65milioni
Tyler Morton - Lyon, Pauni 15milioni
Nat Phillips - West Brom, Pauni 3milioni
Ben Gannon Doak - Bournemouth, Pauni 25milioni
Vitezslav Jaros - Ajax, mkopo
Owen Beck - Derby, mkopo
Luca Stephenson - Dundee United, mkopo
Lewis Koumas - Birmingham City, mkopo
Harvey Elliott - Aston Villa, mkopo
MAN CITY
Walioingia
Tijjani Reijnders - AC Milan, Pauni 46.3milioni
Rayan Ait Nouri - Wolves, Pauni 36milioni
Marcus Bettinelli - Chelsea, imefichwa
Rayan Cherki - Lyon, Pauni 34milioni
Sverre Nypan - Rosenborg, Pauni 12.5milioni
James Trafford - Burnley, Pauni 31milioni
Waliotoka
Kevin De Bruyne - ametemwa, Napoli
Jacob Wright - Norwich, imefichwa
Scott Carson - ametemwa
Kyle Walker - Burnley, Pauni 5milioni
Divin Mubama - Stoke City, mkopo
Maximo Perrone - Como, mkopo
Jahmai Simpson-Pusey - Celtic, mkopo
Vitor Reis - Girona, mkopo
Max Alleyne - Watford, mkopo
Jack Grealish - Everton, mkopo
James McAtee - Nottingham Forest, Pauni 30milioni
Claudio Echeverri - Bayer Leverkusen, mkopo
Callum Doyle - Wrexham, Pauni 8milioni
Issa Kabore - Wrexham, mkopo
MAN UNITED
Walioingia
Bryan Mbeumo - Brentford, Pauni 71milioni
Matheus Cunha - Wolves, Pauni 62.5milioni
Diego Leon - Cerro Porteno, Pauni 7milioni
Benjamin Sesko - RB Leipzig, Pauni 73.7milioni
Senne Lammens - Royal Antwerp, Pauni 18.2milioni
Waliotoka
Alejandro Garnacho - Chelsea, Pauni 40milioni
Christian Eriksen - ametemwa
Jonny Evans - ametemwa
Victor Lindelof - ametemwa
Elyh Harrison - Shrewsbury, mkopo
Marcus Rashford - Barcelona, mkopo
Radek Vitek - Bristol City, mkopo
Ethan Wheatley - Northampton Town, mkopo
Jack Moorhouse - Leyton Orient, mkopo
Toby Collyer - West Brom, mkopo
Ethan Williams - Falkirk, mkopo
Rasmus Hojlund - Napoli, mkopo
Antony - Real Betis, Pauni 21.7milioni
Harry Amass - Sheffield Wednesday, mkopo
Jadon Sancho - Arsenal, mkopo
NEWCASTLE UNITED
Walioingia
Anthony Elanga - Nottingham Forest, Pauni 55milioni
Antonio Cordero - Malaga, bure
Aaron Ramsdale - Southampton, mkopo
Malick Thiaw - AC Milan, Pauni 34.3milioni
Jacob Ramsey - Aston Villa, Pauni 43milioni
Nick Woltemade - Stuttgart, Pauni 69milioni
Yoane Wissa - Brentford, Pauni 55milioni
Waliotoka
Lloyd Kelly - Juventus, Pauni 20milioni
Jamal Lewis - ametemwa
Callum Wilson - West Ham, bure
Sean Longstaff - Leeds, Pauni 12milioni
Martin Dubravka - Burnley, imefichwa
Odysseas Vlachodimos - Sevilla, mkopo
Matt Targett - Middlesbrough, mkopo
NOTTINGHAM FOREST
Walioingia
Dan Ndoye - Bologna, Pauni 34milioni
Igor Jesus - Botafogo, Pauni 10milioni
Cherif Yaya - Rio Ave, imefichwa
Jair Cunha - Botafogo, imefichwa
Angus Gunn - Norwich, bure
Omari Hutchinson - Ipswich, Pauni 37.5milioni
James McAtee - Man City, Pauni 30milioni
Arnaud Kalimuendo - Rennes, Pauni 25milioni
Douglas Luiz - Juventus, mkopo
Nicolo Savona - Juventus, Pauni 11.25milioni
Cuiabano - Botafogo, imefichwa
Dilane Bakwa - Strasbourg, Pauni 34.7milioni
Oleksandr Zinchenko - Arsenal, mkopo
Waliotoka
Anthony Elanga - Newcastle, Pauni 55milioni
Harry Toffolo - ametemwa
Jack Perkins - Northampton, imefichwa
Andrew Omobamidele - Strasbourg, imefichwa
Tyler Bindon - Sheffield United, mkopo
Ramon Sosa - Palmeiras, imefichwa
Ben Perry - Colchester, imefichwa
Lewis O'Brien - Wrexham, imefichwa
Matt Turner - Lyon, Pauni 6.5milioni
Emmanuel Dennis - amevunja mkataba
SUNDERLAND
Walioingia
Granit Xhaka - Bayer Leverkusen, Pauni 17.3milioni
Simon Adingra - Brighton, Pauni 20.5milioni
Habib Diarra - Strasbourg, Pauni 30milioni
Enzo Le Fee - Roma, Pauni 20milioni
Noah Sadiki - Union Saint-Gilloise, Pauni 17.5milioni
Reinildo Mandava - Atletico Madrid, bure
Chemsdine Talbi - Club Brugge, Pauni 19milioni
Robin Roefs - NEC Nijmegen, Pauni 11.5milioni
Marc Guiu - Chelsea, mkopo
Omar Alderete - Getafe, imefichwa
Lutsharel Geertruida - RB Leipzig, mkopo
Brian Brobbey - Ajax, Pauni 21.3milioni
Bertrand Traore - Ajax, Pauni 2.5milioni
Waliotoka
Tommy Watson - Brighton, Pauni 10milioni
Jobe Bellingham - Borussia Dortmund, Pauni 32milioni
Nathan Bishop - AFC Wimbledon, imefichwa
Adil Aouchiche - Aberdeen, mkopo
Jordan Seelt - Wolfsburg, mkopo
TOTTENHAM HOTSPUR
Walioingia
Kevin Danso - RC Lens, Pauni 20.9milioni
Luka Vuskovic - Hajduk Split, Pauni 9.5milioni
Mathys Tel - Bayern Munich, Pauni 29.9milioni
Kota Takai - Kawasaki Frontale, Pauni 5milioni
Mohammed Kudus - West Ham, Pauni 55milioni
Joao Palhinha - Bayern Munich, mkopo
Xavi Simons - RB Leipzig, Pauni 51milioni
Waliotoka
Heung-Min Son - LAFC, Pauni 20milioni
Pierre-Emile Hojbjerg - Marseille, Pauni 17milioni
Mikey Moore - Rangers, mkopo
Fraser Forster - ametemwa
Sergio Reguilon - ametemwa
Alfie Whiteman - ametemwa
Damola Ajayi - Doncaster Rovers, mkopo
Alejo Veliz - Rosario Central, mkopo
Josh Keeley - Luton, Pauni 1milioni
Alfie Dorrington - Aberdeen, mkopo
Tyrese Hall - Notts County, mkopo
Bryan Gil - Girona, mkopo
Manor Solomon - Villarreal, mkopo
WEST HAM
Walioingia
Jean-Clair Todibo - Nice, Pauni 35milioni
El Hadji Malick Diouf - Slavia Prague, Pauni 19milioni
Daniel Cummings - Celtic, bure
Kyle Walker-Peters - Southampton, bure
Callum Wilson - Newcastle, bure
Mads Hermansen - Leicester City, Pauni 18milioni
Mateus Fernandes - Southampton, Pauni 42milioni
Soungoutou Magassa - Monaco, Pauni 17.3milioni
Igor Julio - Brighton, mkopo
Waliotoka
Mohammed Kudus - Tottenham, Pauni 55milioni
Edson Alvarez - Fenerbahce, mkopo
Patrick Kelly - Barnsley, imefichwa
Sean Moore - Shelbourne, imefichwa
Aaron Cresswell - Stoke, bure
Vladimir Coufal - Hoffenheim, bure
Kamarai Swyer - Northampton, bure
Michail Antonio - ametemwa
Lukasz Fabianski - ametemwa
Danny Ings - Sheffield United, bure
Kurt Zouma - ametemwa
Michael Forbes - Northampton, mkopo
Gideon Kodua - Luton, mkopo
Mason Terry - Braintree, mkopo
Emerson Palmieri - Marseille, imefichwa
Maxwel Cornet - Genoa, mkopo
WOLVES
Walioingia
Fer Lopez - Celta, Pauni 21.3milioni
Jorgen Strand Larsen - Celta Vigo, imefichwa
Jhon Arias - Fluminense, Pauni 15milioni
David Moller Wolfe - AZ Alkmaar, Pauni 10milioni
Ladislav Krejci - Girona, mkopo
Tolu Arokodare - Genk, Pauni 23.4milioni
Waliotoka
Matheus Cunha - Man Utd, Pauni 62.5milioni
Rayan Ait Nouri - Man City, Pauni 36.3milioni
Goncalo Guedes - Real Sociedad, Pauni 5.2milioni
Nelson Semedo - ametemwa
Tommy Doyle - Birmingham, mkopo
Nasser Djiga - Rangers, mkopo
Boubacar Traore - Metz, mkopo
Pablo Sarabia - ametemwa, Al-Arabi
Craig Dawson - ametemwa
Chem Campbell - Stevenage, bure
Chiquinho - Alverca, imefichwa
Tom King - Everton, imefichwa
Fabio Silva - Borussia Dortmund, Pauni 22.8milioni