Simba, Yanga yoyote aje LEO ni siku muhimu kwa soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla wakati ambapo droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho hatua ya robo fainali itakuwa ikipangwa pale Cairo nchini...
Ufaransa, Ujerumani zilikuwa na mfumo kama wa FFP -3 KWENYE toleo lililopita tuliona namna Ligi Kuu England, Serie A na La Liga timu zao zilivyoathiriwa kwa madeni makubwa katika kujiendeesha baada ya kufanya matumizi makubwa kuliko mapato yao na...
Robertinho, Nabi washindwe wao tu HAKUNA namna kwa makocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’ wa Simba na Nasreddine Nabi wa Yanga kwenye mechi za raundi ya pili ya makundi ya michuano ya kimataifa barani Afrika. Makocha hao...
Masatu akosa penalti, Simba ikaichapa Yanga KATIKA mfululizo wa makala ya maisha ya Kocha Msaidizi wa Simba, Selemani Matola, toleo la kwanza tuliona jinsi ambavyo kocha huyo alivyotoka mkoani kwao Kigoma na kuanzia safari yake ya soka...
PUMZI YA MOTO: Kuna jambo Yanga inapaswa kulifikiria sasa BAADA ya ushindi wa ugenini wa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe kwenye mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho la Afrika, Rais wa Yanga, Hersi Said aliposti picha akiwa ndani ya...
Mechi nne za moto Ligi ya Mabingwa LIGI ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali inaanza wikiendi ijayo, ikiwa na sura tofauti na hatua ya makundi ambayo ilimalizika hivi karibuni. Hii ni hatua nyingine muhimu ambayo mashabiki...
SIMBA DAY: Simba ni taifa kubwa, mabingwa wa nchi MABINGWA wa soka nchini, Simba inajiandaa kuadhimisha siku maalumu ya klabu hiyo maarufu kama Simba Day. Tofauti na ilivyozoeleka, tamasha la msimu huu linafanyika Septemba 19 badala ya Agosti...
PRIME Yanga mpya vinatoka vyuma, vinaingia vyuma YANGA wamemaliza msimu ikiwa ni timu iliyofanikiwa kuliko nyingine zote za Ligi Kuu Bara msimu huu. Hii ni timu yenye mafanikio makubwa zaidi kwa ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kwa kipindi...
PRIME Ukweli wa Robertinho HUKU kwenye mitandao ya kijamii kuna kelele nyingi za mashabiki na wapenzi wa Simba juu ya Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’. Wanasema Simba inashinda mechi zake, lakini hawana imani na kocha...
MJUAJI: Hii ndio Simba ya 1993 na maajabu yake KUMBUKA nilishaandika hapa, Simba ilikuwa imetoka Kampala, Uganda baada ya kutolewa kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (sasa Kombe la Kagame). Mwaka 1993, Simba ilienda...