MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe - 2 Katika toleo lililopita, tuliona historia ya klabu ya TP Mazembe kuanzia mwanzo wake, maana ya jina lake na mafanikio yake ya miaka ya 1960 na mwanzoni mwa miaka ya 1970. Leo tutaangalia anguko...
PRIME MTU WA MPIRA: Try Again aondoke Simba, ili aje nani? SALIM Abdallah Muhene. Huku mtaani anafahamika zaidi kama Salim ’Try Again.’ Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba. Aliteuliwa kwa mara ya pili mwaka huu na bilionea na mwekezaji wa klabu...
Timu ya taifa gofu hata miaka 50 freshi tu INAHITAJIKA mchakato maalumu wa kuwaandaa vijana wa kuitumikia timu ya taifa ya gofu, ambao watanyakua mataji ya mashindano mbalimbali yanayofanyika kila mwaka nchi tofauti, kama wanavyozungumza...
Mfaransa rasmi Yanga KAZI imeisha. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mabosi wa Jangwani kuamua kwa pamoja kulipitisha jina la Mfaransa Hubert Velud kuwa Kocha Mkuu wao kuchukua mikoba ya Cedric Kaze, lakini wakimpa...
Mamitto: Haikuwa kazi rahisi kutoboa maisha EUNICE Wanjiru ni mchekeshaji maarufu wa Stand Up Comedy aliyeibukia kupitia shoo ya Churchill Show. Mamilioni ya mashabiki wake wanamfahamu vyema kama Mamitto. Akiwa na umri wa miaka 27, tu...
RIPOTI MAALUM: Makocha wazawa wanafeli wapi? KATIKA sehemu ya kwanza ya makala hii kuhusu sababu za ligi zetu nchini kutawalia na makocha wa kigeni huku makocha wazawa wakishindwa sio tu kwenda kusaka ajira na mafanikio nje ya nchi, bali...
Patamu, huku Baleke kule Fei Toto LIGI Kuu Bara imesimama kwa wiki mbili, huku mechi 40 hadi zikipigwa. Mechi hizo zimepigwa kuanzia Agosti 15 hadi Oktoba 8, zimezalisha mabao 89, huku wazawa 39 wakifunga mabao 50, wakiongozwa...
UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Tatizo sio Chama na Luis kuondoka Simba Hakuna timu bora duniani iliyowahi kufanikiwa kwa kuwauza wachezaji wake bora. Haipo. Timu zote bora zimekuwa na utamaduni wa kuwazuia wachezaji wake bora kuondoka. Zaidi ya miaka 20, FC...
Azam balaa zito Misri El Gouna, Misri. AZAM FC iko wilaya ya El Gouna mkoani Hurghada nchini Misri katika maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23. Tutakuwa tukikuletea kila kinachoendelea na leo tukianza na safari...
PRIME Mrithi wa Nabi pasua kichwa Kocha Nasredine Nabi ameng'oa nanga Jangwani amegoma kuongezewa mkataba mpya na uongozi ukamtakia kila kheri tayari ameanza mazungumzo na vyuma viwili ambavyo muda wowote watafanya uamuzi wa mwisho.