Orodha ya kampuni bora za kubeti mtandaoni Tasnia ya michezo ya kubeti imekuwa ikukua kwa siku hadi siku ikiwavutia watu wengi hasa vijana. Kwa Tanzania serikali imekuwa ikiingiza mapato kupitia kodi mbali mbali .
AFCON 2025: Mwali atasakwa kwenye nyasi hizi HAZIZIDI wiki mbili kabla ya kuanza kwa mchakamchaka wa mashindano ya Afcon 2025 huko Morocco na hamu ya wengi ipo kwenye viwanja venye viwango vya dunia vitakavyotumika kwenye michuano mikubwa...
Barcelona yasua sua dili la Marcus Rashford BARCELONA inaripotiwa bado haijafanya uamuzi wa kumsainisha mkataba wa moja kwa moja mshambuliaji wa Manchester United Marcus Radhford ambaye msimu huu anacheza kwa mkopo katika kikosi...
Messi, Ronaldo katika fainali za mwisho Kombe la Dunia KWA zaidi ya miaka 20 dunia ya soka imegawanyika katika makundi mawili makubwa, moja limeamini Lionel Messi ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi kutokea huku kundi jingine likisimama upande wa...
Arsenal na miaka 22 ya kusubiri ubingwa wa EPL BAADA ya miaka mingi ya kukaribia mafanikio bila kuyafikia, hatimaye Arsenal imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL) msimu wa 2025-2026. Ni ubingwa uliotokana na uimara mkubwa wa...
PANGA: Kikosi cha Real Madrid kufanyiwa mabadiliko BAADA ya kuondolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Bayern Munich wiki iliyopita, tathmini ya ndani ya kikosi hicho imeshaanza kuelekea mwisho wa msimu ambao huenda ikaumaliza bila...
Hukumu, heshima wababe wakikunjua misuli CAF YANGA, Azam na Singida Black Stars, bado zina nafasi ya kuitetea Tanzania kwenye michuano ya kimataifa katika kuwania nafasi ya kufuzu robo fainali, hiyo ni baada ya Simba hesabu kwenda vibaya.