Wapya Saba kambini Simba, kupaa wiki hii Morocco BAADA ya mapumziko mafupi waliyopewa na benchi lao la ufundi, nyota wa Simba wakiwamo wale wapya waliosajiliwa hivi karibuni, wanatarajiwa kuliamsha dude upya kuanzia leo kabla ya kusafiri kwa...
VIDEO: Lile kipa la Mali limetua Yanga ACHANA na matokeo ya aibu iliyopata jana kwenye mechi yao ya mwisho ya michuano ya Kombe la Kagame, unaambiwa Yanga inaendelea kushusha watu na sasa inafanya mambo yao kimyakimya baada ya jana...
Sven apagawa, Bangala anatua Yanga BAADA ya beki Mkongomani, Henock Inonga kuingia tamaa na kusaini Simba, Yanga wamebadili gia haraka na kutua kwa kifaa kingine.
Simba mafia sana! Yaipora beki Yanga, afichwa Dar KWA lugha za kwenye vibanda umiza ni kwamba Yanga wamebipu, Simba wakapiga kweli. Hivi karibuni kulikuwa na tetesi kwamba Yanga imenasa kiungo, Peter Banda aliyekuwa anakwenda Simba na kuwafanya...
Mshahara mmoja tu, Miquissone analipa Yanga yote MAPUTO. MKAZI wa hapa Maputo, Luis Jose amekula maisha nchini Misri. Staa huyo mkubwa kwenye soka la Bongo ambaye ameonekana jijini hapa juzi, ameuzwa na Simba kwa Al Ahly ya Misri. Habari za...
Chama afunguka ishu ya Luis, aanika mipango yake Simba KIUNGO fundi wa mpira wa Simba, Clatous Chama 'Tripple C' ameeleza hisia zake juu ya sakata linalomhusisha winga wa timu hiyo, Luis Miquisonne anayehusishwa kujiunga na Al Ahly ya Misri. Taarifa...
Chama aukubali mziki wa Azam, asema kazi ipo KIUNGO wa Simba, Clatous Chama 'Tripple C' amesema kuwa msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakuwa na ushindani kutokana na jinsi wachezaji wapya wanaosajiliwa. Chama ameyasema hayo wakati...
Manara amshukuru Aveva ALIYEKUWA msemaji wa Simba Haji Manara amemshukuru aliyekuwa Rais wa timu hiyo, Evance Aveva kutokana na mchango mkubwa aliouonyesha kwa kumpa sapoti alipoanza kuhudumu katika timu hiyo...
Manara aibua jambo dhidi ya Senzo HAJI Manara, aliyekuwa ofisa habari wa Simba amedai kuwa mtendaji mkuu wa zamani wa Simba, Senzo Mbatha aliajiriwa ili amfukuze kazi. Haji alibwaga manyanga ndani ya Simba baada ya kutokuwa na...
Nabi atia neno usajili Yanga, kufunguka Agosti 31 Kocha wa Yanga, Nasredine Nabi amesema kwa kiasi kikubwa uongozi wa timu hiyo, umeifanyia kazi ripoti yake katika mapendekezo ya usajili kama vile ambavyo alikuwa anahitaji. Nabi alisema awali...