Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9145 results for Mwandishi :

  1. MTU WA MPIRA: Manara alipaswa kuwajibishwa kitambo, TFF wamechelewa sana

    HATIMAYE Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka kwa muda wa miaka miwili na faini ya Sh2 milioni. Ilikuwa ni jambo la muda tu kufahamu kama nyakati hizi zitatokea kwa...

  2. Eti Ntibazonkiza mzee…

    BAADA ya kuondoka kiungo Gael Bigirima ambaye alikuwa amesajiliwa na Yanga akiwa na rekodi ya kuitumikia timu ya Newcastle United ya England, alibaki mchezaji mwingine mwenye wasifu mkubwa kwenye...

  3. Gamondi, Robertinho ni rekodi na heshima

    VIKOSI vya Simba na Yanga zinaendelea kujifua kwa ajili ya mechi za marudiano za Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kila moja kutoka kupata ushindi kwenye mechi za Ligi Kuu Bara, huku makocha wa...

  4. Derby hii kaziipo

    MASHABIKI wa Simba na Yanga tayari viroho vimeanza kuwadunda wakati wakiendelea kuhesabu siku kabla ya timu zao kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam keshokutwa Jumamosi...

  5. Nabi: Mzize mashine, afichua kilichomkuta Mayele

    KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amekiri kufanya mazungumzo na Clement Mzize kabla ya mchezo wa mchezo wa Kagera na kumsisitiza chipukizi huyo kuwa yeye ni mashine, ajiamini na akakiwashe dhidi ya...

  6. Geay anakula mara tano kwa siku

    UZI tuliishia sehemu ambayo Geay anazungumzia kuhusu maisha yake ya Chuo cha Utumishi wa Umma Singida na jinsi alivyokutana na wanariadha wakubwa wakifanya mazoezi na kumpa ushirikiano wa...

  7. Yanga itaweka rekodi mpya Caf

    HAKUNA maswali kuwa Yanga wana kazi moja tu ya kufanya ili kuweka historia nyingine ya soka hapa nchini. Tayari vitabu vinasema kuwa Yanga ndiyo timu pekee ya Tanzania kufika hatua ya fainali ya...

  8. Uchaguzi waipasua Friends of Simba

    ZIMESALIA saa chache kutoka leo kufanyika kwa Uchaguzi wa uongozi wa juu wa klabu hiyo, huku leo Jumamosi Januari 28 ikiwa ni siku ya mwisho ya kampeni kwa wagiombea wote wa nafasi za Ujumbe na...

  9. Geay: Nilikimbia kilomita 45 kwa saa mbili

    KATIKA toleo la jana, tuliona maisha ya mwanariadha Geay jinsi yalivyo, tuliona jinsi ambavyo aliweza kutoka kijijini kwao na kujichimbia kwenye Uwanja wa Ilboru ambao anautaja kama uwanja bora...

  10. Financial Fair Play na umuhimu wake kwenye soka - 1

    UEFA Financial Fair Play. Kifupi chake ni (FFP). Ni kanuni ya udhibiti iliyotungwa na Umoja wa Mashirikisho ya Vyama vya Soka Ulaya – UEFA ili kuzidhibiti klabu za kulipwa za mchezo wa soka kuwa...

Previous

Page 880 of 915

Next