MZEE WA UPUPU: Mbappe mwana Afrika mwenye rekodi zake Kombe la Dunia
KIJANA wa miaka 23, Kylian Mbappe amekuwa mfungaji bora wa Kombe la Dunia 2022 nchini Qatar.
Mbappe ni Mfaransa mwenye asili ya Afrika, kwa baba na mama.
Mama yake mzazi, Fayza Lamari, ni mtu...