Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9141 results for Mwandishi :

  1. Dakika 180 za presha Yanga, Simba makundi

    Mechi mbili zijazo ambazo zitachezwa ndani ya muda usiozidi siku saba kwa Yanga na Simba zimeshikilia hatima ya ndoto ya timu hizo kumaliza katika nafasi mbili za juu katika makundi yao ya Ligi...

  2. MTU WA MPIRA: Ni akili ya Robertinho dhidi ya Yanga iliyochangamka

    DABI ya Kariakoo. Mchezo wenye hadhi na thamani kubwa zaidi nchini unachezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Ni Simba dhidi ya Yanga. Huu ndio mchezo mkubwa zaidi kwenye ukanda huu wa Cecafa.

  3. MAKALA MAALUM: Anguko la TP Mazembe -1

    MWAKA 2010, klabu ya TP Mazembe kutoka Lubumbashi, DRC, ililiwakilisha vyema Bara la Afrika na kufika fainali ya klabu bingwa ya dunia. Wapinzani wao kwenye mchezo wa fainali walikuwa Inter...

  4. MZEE WA UPUPU: Walter Bwalya alivyomponza Kalusha Bwalya

    KALUSHWA 'The Great Kalu' Bwalya, ni mwanasoka bora na mwenye mafanikio zaidi kuwahi kutokea Zambia. Kama sio ile ajali ya ndege ya mwaka 1993 iliyogharimu maisha ya kikosi chote cha Zambia...

  5. MTU WA MPIRA: Ni kweli Simba ni hasara kwa Mo Dewji?

    TUMESIKIA mara nyingi. Tumesikia tena hapa majuzi kauli ya bilionea na Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ akilalamika. MO Dewji amekuwa akisema kila siku akitokea hadharani...

  6. PRIME MTU WA MPIRA: Kuna ukweli hatutaki kusema kuhusu Sure Boy

    ABUBAKAR Salum ‘Sure Boy’. Fundi mmoja wa mpira kuwahi kutokea nchini. Sio huyu wa sasa anayecheza pale Yanga, hapana, huyu ni baba yake mzazi. Ndiye mwenye jina halisi la Sure Boy. Alipewa jina...

  7. Balaa zito Azam, sasa ni full sayansi mazoezini

    WIKI ya pili ya kambi ya Azam FC hapa El Gouna Misri imekuwa tofauti kidogo na ya kwanza. Wiki ya kwanza ilitawaliwa na mazoezi ya kujenga mwili na pumzi ambapo mwanzoni kulikuwa na vipindi...

  8. MTU WA MASHABIKI: Yanga isijiamini sana, ubingwa Bara bado upo wazi

    VITA ya ubingwa imeanza upya Ligi Kuu Bara. Sare tatu mfululizo ilizopata Yanga zimefufua matumaini kwa watetezi Simba. Pengo la pointi baina yao limepunguza badala ya kuongezeka. Hata zile...

  9. MTU WA MPIRA: Kuna ushamba mwingi kwenye usajili Bongo

    USAJILI kwa timu za Ligi Kuu umeshika kasi. Kila timu inajipambanua kushusha kifaa kipya. Kila timu inajinasibu kushusha wachezaji wa maana zaidi ya wapinzani wao. Kasi ni kubwa zaidi kwa Simba,...

  10. MTU WA MPIRA: Simba hii tumwachie Mungu

    SIMBA imeanza kutema bungo huko Ligi Kuu. Vijana wa kisasa wanasema imelowa. Majuzi imeacha alama pale Mbeya. Lakini huu ni mwendelezo wa kushindwa kufanya vizuri katika mechi muhimu. Msimu huu...

Previous

Page 865 of 915

Next