Chicharito aitaka Mexico kuanza kwa kishindo Kombe la Dunia 2026
MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya taifa ya Mexico, Javier ‘Chicharito’ Hernandez anaamini Mexico inaweza kufanya vizuri katika Kombe la Dunia 2026, lakini jambo muhimu zaidi ni kuanza mashindano...