Diamond, Rayvanny waonekana Basata Ikiwa zimepita wiki mbili tangu msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Raymond Mwayakyusa'Rayvanny', kuachana na lebo ya WCB, ameonekana viunga vya ofisi za Basata pamoja na aliyekuwa bosi wake Naseeb...
Si mchezo, kwa makipa hawa Azam, kina Mayele, Phiri kazi wanayo KAMBI ya Azam FC mjini El Gouna, Misri ipo katika siku ya nne leo Jumanne, huku mambo yakizidi kunoga kidogokidogo, ambapo kila kocha amekwishaanza kuwanoa watu wake. Azam FC ina makocha na...
MZEE WA UPUPU: Badru anahukumiwa na kitu kimoja, kufanya kazi Azam . Inakuwaje vyeti siyo sahihi na vikaleta matokeo ya namna hii? Hatujiulizi kwamba labda Sisi ndiyo hatuko sahihi kuvikataa vyeti vya namba hiyo? Na je tunatoa tuzo kwa cheti kwa kocha? Sawa, labda...
Azam balaa zito Misri El Gouna, Misri. AZAM FC iko wilaya ya El Gouna mkoani Hurghada nchini Misri katika maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23. Tutakuwa tukikuletea kila kinachoendelea na leo tukianza na safari...
Polisi Tanzania yashusha kocha Mrundi KLABU ya Polisi Tanzania imefikia makubaliano na kocha, Joslin Sharif Bipfubusa kwa ajili ya kukinoa kikosi hicho msimu ujao. Joslin (37) raia wa Burundi anachukua nafasi iliyoachwa wazi na...
Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi...
VIDEO: Manara aikataa hukumu ya TFF Siku kadhaa baada ya Kamati ya Maadili ya TFF kumfungia msemaji wa Yanga, Haji Manara kufungiwa kutojihusisha na soka kwa miaka 2 na faini ya Sh20 milioni kwa kukutwa na hatia ya kumtolea maneno...
TFF yamjibu Manara KAIMU Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa mhamasishaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais...
ZA NDAANI KABISA: Manzoki Simba hadi Desembaa! MASHABIKI wa Simba wanaendelea kuifuatilia timu hiyo ikiwa kambini Misri, huku wakimsikilizia straika mpya Cesar Manzoki, lakini Za Ndaani Kabisa zinasema, jamaa huenda akajiunga na kikosi hicho...
Tunawezesha Taifa Mtendaji mkuu wa zamani wa Campbell Soup, Doug Conant aliwahi kusema: “Ili kufanikiwa sokoni, ni lazima kwanza ufanikiwe kazini.” Kampuni ya Mwananchi Communications Ltd (MCL) inafanya mageuzi...