Aliyefariki ajali ya Kalaba azikwa, familia yamkana mume
WANAFAMILIA na marafiki wa Charlene Mumba Kabaso, aliyefariki katika ajali iliyotokea Aprili 13, 2024 eneo la Kafue nchini Zambia wamejumuika kutoa heshima za mwisho na kumpumzisha kwenye makazi...