Vita ya mfungaji bora Kombe la Dunia 2026 OMBE la Dunia 2026 linatarajiwa kuwa moja ya mashindano makubwa na ya kihistoria zaidi katika historia ya soka duniani, kutokana na mabadiliko makubwa ya mfumo wa mashindano ambapo kwa mara ya...
Baada ya Maradona amekuja Messi, nani baada yake? MWAKA 2016, Lionel Messi alitangaza kustaafu kuchezea timu ya taifa ya Argentina, hiyo ni baada ya kufungwa na Chile katika fainali ya Copa America.
Salah kuongoza Mafarao Kombe la Dunia 2026 KUNA mataifa ambayo hushiriki Kombe la Dunia kwa ajili ya kuongeza uzoefu lakini pia kuna mataifa yanayoingia katika mashindano yakiwa na historia nzito mabegani mwao. Misri ni moja ya mataifa hayo.
Nani ni nani mchuano wa mchezaji bora EPL MASTAA walioteuliwa kuwania tuzo ya Mchezaji Bora msimu wa Ligi Kuu England 2025-26 tayari imetolewa na wiki ijayo, Mei 23, mshindi anapatikana wakati michuano hiyo ikiwa katika hatua za mwisho...
WE ACHA TU! Penalti 10 zinazouma zaidi kwenye mchezo wa soka MIKWAJU ya penalti hutengeneza nyakati zisizo na huruma kabisa katika mchezo wa soka.ngekuwa na bunduki, ningejipiga risasi. Wakati huo nilitaka kufa. Ndivyo ilivyokuwa.”
EVODY: Beki aliyewazima mastaa Simba akiichezea Mtibwa Sugar HAROUB Evody ndiye aliyekuwa shujaa kwenye mchezo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1 kati ya wenyeji Simba na Mtibwa Sugar kwa kukabidhiwa tuzo ya mchezaji bora baada ya dakika 90 kutamatika.
Ahsante Morocco, tungoje ya Gamondi ZAMA za kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ katika timu ya taifa zimefikia tamati baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza Novemba 4, 2025 kuwa haitaendelea naye sambamba na benchi nzima...
ZILIPIGWA: Mapambano 10 bora zaidi ya ngumi duniani muda wote JANGA la Uviko-19 liliyafanya mambo mengi katika maisha ya binadamu kusimama. Miongoni mwa hayo mapambano mengi ya ngumi ambayo mashabiki walikuwa wakiyasubiri kwa hamu yaliahirishwa.
MAYWEATHER VS PACQUIAO: Miaka 10 tangu pambano la karne! ACHANA na lile pambano la ‘The Rumble in the Jungle’ lililopigwa Oktoba 30, 1974 nchini Zaire (sasa DR Congo) kati ya Muhammad Ali dhidi ya George Foreman ambalo ndilo linalotajwa kuwa bora la...