Inter Milan ilivyogeuza maumivu kukosa 'treble' ikibeba ubingwa Serie A 2025/26
INTER Milan, juzi ibeba ubingwa wa Ligi Kuu Italia (Serie A), ikitoka kugeuza maumivu ya kukosa treble (yaani mataji matatu makubwa ndani ya msimu mmoja), msimu uliopita na kufanya mambo makubwa...