Tamu, chungu kuahirishwa Chan 2024 Uamuzi wa kusogezwa mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Chan) 2024 hadi Agosti mwaka huu unaweza kuja na faida chanya na hasi hasa kwa Tanzania ambayo ni...
NIONAVYO: Tusisubiri mtu afe uwanjani HAKUNA kitu kilichochafua taswira ya mpira wa Uingereza katika karne iliyopita zaidi ya vitendo vya wahuni viwanjani au kwa lugha yao wanawaita hooligans. Hooligans hawa walifanya vurugu ndani na...
Isarito: 'Bunji' haikuwa kazi rahisi, mazuri yanakuja! WENGI wamezoea kuona filamu hasa tamthilia za mapigano kutoka mataifa yaliyoendelea Ulaya na Marekani. Hata hivyo, hata hapa nchini kwa sasa zimeanza kushika kasi. Zipo nyingi ingawa kwa viwango...
Hii hapa mikakati ya Simba ikifumuliwa, kusuka upya kikosi SIMBA imekubali yaishe baada ya watani zao wa jadi Yanga kubeba ubingwa wa ligi kwa mara ya tatu mfululizo, jambo lililowaumiza Wekundu wa Msimbazi hao na sasa timu hiyo inaenda kufumuliwa na...
PRIME Kazi nzito Yanga, Ramovic aanza na Al Hilal HUKO Yanga ndo sasa yanaanza. Ndio, kazi inaanza upya na presha ndani ya klabu hiyo sasa inahama kutoka kwa viongozi kidogo na kuhamia kwa wachezaji ambao leo watakutana kwa mara ya kwanza na...
SPOTI DOKTA: Madhara kucheza kandanda na maumivu iko hivi KATIKA mapito ya mwanasoka kuna nyakati za furaha na nyakati ngumu. Moja ya nyakati ngumu ni pale mchezaji anapopata majeraha yanayoambatana maumivu na huku anahitajika na timu.
Siku ya kwanza kazini halafu ni mbaya SIKU yako ya kwanza kazini na kisha mambo yanakwenda kombo ni jambo litakalobaki kwenye kumbukumbu zako maisha yote. Kitu hicho, muulize staa mpya wa Manchester City, Abdukodir Khusanov, ambaye...
PRIME MZEE WA FACT: Uwanja wa Dodoma ungeitwa Joseph Nyerere Jumatano ya Februari 12 mwaka huu, Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo ilitoa mchoro rasmi wa uwanja wa michezo utakaojengwa jijini Dodoma. Siku iliyofuata Februari 13, wizara hiyo...
KenGold kujiuliza jeshini, Azam, Namungo kazi kazi BAADA ya kuvuna pointi nane katika mechi tano zilizopita katika Ligi Kuu Bara, wachimba dhahabu wa KenGold leo jioni itashuka tena uwanjani kuikabiliana na wenyeji wao, maafande wa JKT Tanzania...
NIONAVYO: Simba, Yanga katikati ya mtego MARA nyingi nimeandika hapa, Tanzania ni nchi yenye nafasi kubwa au nyingi katika mashindano ya klabu za soka Afrika.