NBA mambo mengi, muda mchache! MSIMU mpya wa Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Marekani (NBA) 2025/26 unakaribia kuanza huku mashabiki, wachezaji na timu 30 zikisubiri mambo matano ambayo kila mwaka yamekuwa yakizungumzwa yakihusiana...
Waliohama timu dirisha dogo la usajili 2024-25 Hii hapa orodha ya mastaa waliobadili timu kwenye dirisha dogo la uhamisho wa wachezaji, ambapo kwa baadhi ya nchi za Ulaya lilifungwa usiku wa Jumatatu, Februari 3. ENGLAND Nico Gonzalez...
NIONAVYO: Trump II na hatima ya michezo BAADA ya kuitumikia Marekani kama Rais wa 45, Donald John Trump amechaguliwa tena kuwa rais wa 47 wa Marekani.
PRIME Manji ana mchezaji mmoja Yanga Manji alikuwa Uwanja wa Mkapa Jumamosi iliyopita akiishuhudia Yanga ikiibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba na kukaribia kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, baada ya kufikisha...
Huu hapa mtoko mpya wa Simba kimataifa SIMBA ipo katika maandalizi kabambe kuhakikisha wanatimiza lengo lao la kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu.
PRIME NIONAVYO: nilisita kwenda mechi ya Azam na JKT mbweni MCHEZO wa soka hauwezi kukamilika bila ya kuwepo uwanja. Mindombinu mizuri ya kuchezea ni muhimu sana katika maendeleo ya mchezo huo na hata michezo mingine ya viwanjani.
PRIME Kamera, ubao zabeba makipa Simba MASHABIKI wa Simba ghafla wamejikuta wakichanganyikiwa kwa mzuka wa furaha baada ya kuona kiwango cha timu hiyo katika mechi kadhaa iliizocheza hadi sasa zikiwamo mbili za Ligi Kuu...
Albamu za Bongo Fleva zilizobamba 2024 Mwaka 2024 wasanii wa Bongo Fleva wameendelea kuachia albamu na Ep ikiwa kama sehemu ya kuendelea kujitanua kimuziki na kujitangaza zaidi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Mourinho anavyofukuzia rekodi za kibabe Ligi Kuu England JOSE Mourinho ametajwa kwenda kuchukua mikoba ya Sean Dyche huko Everton.
Tamu, chungu kuahirishwa Chan 2024 Uamuzi wa kusogezwa mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Chan) 2024 hadi Agosti mwaka huu unaweza kuja na faida chanya na hasi hasa kwa Tanzania ambayo ni...