Waliohama timu dirisha dogo la usajili 2024-25

Muktasari:
- Hii hapa orodha ya mastaa waliobadili timu kwenye dirisha dogo la uhamisho wa wachezaji, ambapo kwa baadhi ya nchi za Ulaya lilifungwa usiku wa Jumatatu, Februari 3.
Hii hapa orodha ya mastaa waliobadili timu kwenye dirisha dogo la uhamisho wa wachezaji, ambapo kwa baadhi ya nchi za Ulaya lilifungwa usiku wa Jumatatu, Februari 3.
ENGLAND
- Nico Gonzalez: Kutoka Porto kwenda Manchester City (Euro 60 milioni)
- Marcus Rashford: Kutoka Manchester United kwenda Aston Villa (mkopo)
- Mathys Tel: Kutoka Bayern Munich kwenda Tottenham Hotspur (mkopo)
- Omar Marmoush: Kutoka Eintracht Frankfurt kwenda Man City (Euro 70 milioni)
- Vitor Reis: Kutoka Palmeiras kwenda Man City (Euro 29.6 milioni)
- Patrick Dorgu: Kutoka Lecce kwenda Man United (Euro 30 milioni)
- Romain Esse: Kutoka Millwall kwenda Crystal Palace ([Pauni14 milioni)
- Donyell Malen: Kutoka Borussia Dortmund kwenda Aston Villa (Pauni 20 milioni)
- Antonin Kinsky: Kutoka Slavia Prague kwenda Tottenham Hotspur (Pauni 12.5 milioni)
- Emmanuel Agbadou: Kutoka Stade de Reims kwenda Wolves (Pauni 16.6 milioni)
- Abdukodir Khusanov: Kutoka Lens kwenda Man City (Euro 40 milioni)
- Ayden Heaven: Kutoka Arsenal kwenda Man United (Pauni 1 milioni)
- Kevin Danso: Kutoka RC Lens kwenda Tottenham Hotspur (Euro 25 milioni)
- Stefanos Tzimas: Kutoka FC Nurnberg kwenda Brighton (Pauni 22 milioni)
- Evan Ferguson: Kutoka Brighton kwenda West Ham United (mkopo)
- Caleb Wiley: Kutoka Chelsea kwenda Watford (mkopo)
- Marco Asensio: Kutoka Paris St Germain kwenda Aston Villa (mkopo)
- Nasser Djiga: Kutoka Red Star Belgrade kwenda Wolves (Pauni 10 milioni)
- Carlos Alcaraz: Kutoka Flamengo kwenda Everton (mkopo)
- Axel Disasi: Kutoka Chelsea kwenda Aston Villa (mkopo)
ITALIA
- Maxence Caqueret: Kutoka Lyon kwenda Como (Euro 14 milioni)
- Dele Alli: atua Como (mchezaji huru)
- Randal Kolo Muani: Kutoka Paris Saint-Germain kwenda Juventus (mkopo)
- Philip Billing: Kutoka Bournemouth kwenda Napoli (mkopo)
- Devyne Rensch: Kutoka Ajax kwenda AS Roma (Euro 5 milioni)
- Kyle Walker: Kutoka Man City kwenda AC Milan (mkopo)
- Renato Veiga: Kutoka Chelsea kwenda Juventus (mkopo)
- Santiago Gimenez: Kutoka Feyenoord kwenda AC Milan (Euro 32 milioni)
- Nicolo Zaniolo: Kutoka Galatasaray kwenda Fiorentina (mkopo)
- Cher Ndour: Kutoka Paris Saint Germain kwenda Fiorentina (Euro 12 milioni)
- Cristiano Biraghi: Kutoka Fiorentina kwenda Torino (mkopo)
- Lloyd Kelly: Kutoka Newcastle United kwenda Juventus (mkopo)
- Davide Calabria: Kutoka AC Milan kwenda Bologna (mkopo)
HISPANIA
- Ruben Vargas: Kutoka Augsburg kwenda Sevilla (Euro 2.5 milioni)
BRAZIL
- Neymar: Kutoka Al-Hilal kwenda Santos (bure)
UJERUMANI
- Xavi Simons: Kutoka Paris Saint Germain kwenda RB Leipzig (Euro 50 milioni)
- Emiliano Buendia: Kutoka Aston Villa kwenda Bayer Leverkusen (mkopo)
- Michy Batshuayi: Kutoka Galatasaray kwenda Eintracht Frankfurt (Euro 3.5 milioni)
- Kosta Nedeljkovic: Kutoka Aston Villa kwenda RB Leipzig (mkopo)
- Carney Chukwuemeka: Kutoka Chelsea kwenda Borussia Dortmund (mkopo)
UFARANSA
- Khvicha Kvaratskhelia: Kutoka Napoli kwenda PSG (Euro 70 milioni)
- Mika Biereth: Kutoka Sturm Graz kwenda AS Monaco (Euro 13 milioni)
- Kyogo Furuhashi: Kutoka Celtic kwenda Stade Rennais (Pauni 10 milioni)
UTURUKI
- Diego Carlos: Kutoka Aston Villa kwenda Fenerbahce (Euro 10 milioni)
- Alvaro Morata: Kutoka AC Milan kwenda Galatasaray (mkopo)
SCOTLAND
- Jota: Kutoka Stade Rennais kwenda Celtic (Pauni 8 milioni)
SAUDI ARABIA
- Matteo Dams: Kutoka PSV Eindhoven kwenda Al-Ahli (Euro 5 milioni)
- Jhon Duran: Kutoka Aston Villa kwenda Al-Nassr (Euro 77 milioni)
MAREKANI
- Miguel Almiron: Kutoka Newcastle United kwenda Atlanta United (imefichwa)