JICHO LA MWEWE: Kauli ya Nahimana kwa Simba inafungua sura mpya HATUISHIWI vituko. Labda usafiri kwenda nchi nyingine lakini hapa nchini huwa hatuishiwi. Majuzi kipa wa KMC, Jonathan Nahimana amelazimika kuiomba radhi klabu yake baada ya kutangaza hadharani...
Kagere? Tunahitaji kina Samatta wengii MJADALA umekuwa ukiendelea nchini kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni katika Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kuwa ama wawe watano au kumi katika kila timu. Wadau wametakiwa kutoa maoni yao...
HAMZA KALALA-2 : Alilipwa Sh11,000 na maisha mengine yakafuata KATIKA toleo la jana Jumatatu makala haya yalizungumzia namna ambavyo Hamza Kalala alivyopigishwa msoto akivizia ajira ya muziki. Na hapa anaendelea kuzungumzia mambo mbalimbali yaliyojitokeza...
Simba noma yaamua kumfuata Luis Sauzi HUENDA Yanga hawakuamini zile taarifa zilizoripitiwa na Mwanaspoti juzi kati juu ya mabosi wa Simba kuingiza mkono kwenye usajili wa winga teleza wa UD Songo, Luis Jose Miquissone.
Messi vs Ronaldo : Ronaldo amkataa Rafa Benitez Real Madrid TOLEO ililopita, mwandishi, Luca Caioli alielezea jinsi Ronaldo alivyolia baada ya Ureno kulikosa taji la Euro 2004 nyumbani pamoja na ujio wa kocha mpya katika klabu ya Real Madrid, Rafa...
Namna nyingine ya kumtumia Ndayiragije KOCHA Msaidizi wa Taifa Stars, Juma Mgunda, amekabidhiwa mikoba ya kuinoa Kilimanjaro Stars katika michuano ya Chalenji inayoanza wikiendi hii nchini Uganda. Kwa upande wa Zanzibar, wao wamempa...
Kitambi anafanya kisichotakiwa kufanywa WIKI hii nimekuwa nikisoma magazeti mbalimbali ya Tanzania na mitandao kuhusu maelezo yanayotolewa na Kocha Msaidizi wa Simba, Denis Kitambi, kuhusu mwenendo wa timu yake katika siku za karibuni.
Messi vs Ronaldo : Messi abadili uamuzi, aichezea Argentina TOLEO lililopita, mwandishi, Luca Caioli alielezea tukio la Messi kukata tamaa kuichezea timu ya Taifa ya Argentina baada ya kushindwa kuibeba timu hiyo na hatimaye kutangaza kujiuzulu...
Madadi aitosa Simba, azuiwa getini Zanzibar WAZANZIBARI wana msemo wao ‘Ndio kwanza mkoko waalika maua’. Nami nasema ndio kwanza makala haya yanaanza kunoga.
Messi vs Ronaldo : Messi ajikatia tamaa, Maradona amkingia kifua TOLEO lililopita, mwandishi, Luca Caioli alizichambua shutuma alizokumbana nazo Messi baada ya Argentina kukwama kwenye fainali za Kombe la Dunia Brazil mwaka 2014 na Copa America 2015 huku...