#LIVE: Ibada mazishi ya Magufuli Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo ataongoza viongozi wa Serikali, majeshi ya ulinzi na usalama, vyama vya siasa, dini na wananchi wa mkoa wa Geita katika mazishi ya hayati John Magufuli...
Ifahamu familia ya watoto saba wa Magufuli, wanne wakianza na herufi J Kwa muda mrefu familia ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk John Magufuli haikuwa ikiweka wazi idadi ya watoto na wajukuu alionao marehemu, lakini Jumatatu katika mazishi ya kitaifa yaliyofanyika...
Simba walizua Al Ahly, waarabu waanza kuzozana KASI ya Simba kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika bado ni tatizo kwa Al Ahly ya Misri chini ya Kocha Msauzi, Pitso Motsimane. Kitendo cha Bingwa huyo mtetezi wa Afrika kushindwa...
Mastaa Yanga wapewa ishu za kocha mpya SAA chache tu baada ya Mwanaspoti kufichua kuwa mabosi wa Yanga wapo mbioni kumleta Kocha Mfaransa Sebastien Migne anayetarajiwa kutua nchini ndani ya wiki, mastaa wa timu hiyo wamepewa mchongo...
Kocha mpya Yanga aja na rekodi za Sven VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga wanaendelea kujifua mazoezini katika kambi yao ya Kigamboni chini ya Kocha Juma Mwambusi, huku wakimsubiria kocha mkuu mpya, Mfaransa Sebastien Migne anayetarajiwa...
Fundi anatua Yanga SASA ni rasmi kwamba Yanga imebadili gia juu kwa juu kwa kuamua kuachana na Mfaransa Hubert Velud na kwenda na Sebastian Migne. Mwanaspoti limejiridhisha kwamba ilikuwa kwenye hatua za mwisho...
Samia aapishwa kuwa Rais wa Tanzania Leo Ijumaa Machi 19, 2021 Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa Rais wa sita wa Tanzania.
Basata yasitisha matamasha na burudani kwa siku 14 Dar es Salaam. Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) limetangaza kusitisha matamasha na burudani kwa siku 14 kutokana na msiba wa aliyekuw Rais wa Tanzania, John Magufuli aliyefariki dunia Machi 17...
Mwili wa Magufuli kuagwa mikoa minne Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbas amesema ratiba ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Magufuli imekamilika na itatolewa kwa umma leo Ijumaa Machi 19, 2021 na Makamu wa...
Mzuka warudi kambini Yanga, Mukoko afunguka Mastaa wa Yanga licha ya kwamba wanalalamika kimoyomoyo kwamba matizi ya Kocha Juma Mwambusi si mchezo, lakini wanayakubali kwamba yanawajenga kwenye pumzi. Farouk Shikhalo ambaye ni kipa...