NIONAVYO: Hommage ya Issa Hayatou WAPO Watanzania wengi ambao wakiulizwa waonyeshe taifa la Cameroon lilipo katika ramani ya Afrika wanaweza kushindwa mtihani.
Kutoka kambi ya Azam FC... Ujio wa Samake ni uchungu kwa Akaminko, Navaro MUDA wa maisha ya James Akaminko ndani ya kikosi cha Azam FC unahesabika na dakika zinaenda kasi sana.
PRIME Simba V Azam FC... Utamu upo kati SIMBA imetamba leo itaendeleza Ubaya Ubwela pale ilipoishia wakati itakapokuwa wenyeji wa Dabi ya Mzizima dhidi ya Azam FC, huku Wanalambalamba wakijibu mapigo kwamba safari hii hawakubali...
PRIME PUMZI YA MOTO: Rita wa Diamond na mkasa wa Rita mwenzake wa Bob Marley KATIKATI ya juma lililopita hali ya hewa ilichafuka mitandaoni baada ya kuvuja kwa video zikimuonyesha mrembo mmoja anayeitwa Rita Norbeth akiwa na nyota wa muziki, Diamond Platinum, kwenye...
NIONAVYO: Mpira wa mdomoni unauponza mpira wa uwanjani MWANZONI mwa msimu wa Ligi Kuu Bara, Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPBL), Almas Kasongo alinukuliwa akisema kwamba katika msimu huu bodi hiyo haitawavumilia wasemaji wa klabu ambao ni...
Hii ni vita ya watoto wa London Leo kuna vita ya watoto wa London ndani ya Premier League huku mechi kubwa zaidi ikiwa ni Tottenham Hotspur dhidi ya Chelsea ambayo itafunga siku ikichezwa saa 1 usiku kwenye uwanja wa kisasa wa...
PUMZI YA MOTO: Kayoko ‘akurupushwa usiku wa manane’ kuchezesha Ligi Kuu TANGU achezeshe mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga, Oktoba 19 mwaka huu, mwamuzi Ramadhan Kayoko ‘alisahaulika’ kwenye viwanja vya Ligi Kuu Bara.
Man United vs Arsenal... Piga ua hawatoki MSIMAMO wa Ligi Kuu England unavyosoma, Arsenal imeachwa pointi 13 na vinara Liverpool kwenye msako wao wa kusaka ubingwa wa ligi hiyo msimu huu.
PRIME England itakavyoingiza timu saba Ligi ya Mabingwa Ulaya LIGI Kuu England inaweza kutawala soka la Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao kwa kuwa na timu saba zitakazoshiriki mikikimikiki hiyo.
PRIME Hiki Kikosi cha Kwanza hakuna mchezaji wa Arsenal ametia mguu NDIYO hivyo. Hakuna mchezaji yeyote wa Arsenal kwenye kikosi cha kwanza cha Ligi Kuu England cha msimu huu, licha ya miamba hiyo kushika namba mbili kwenye msimamo na ina rekodi tamu kabisa...