Simba yajichimbia kambi ya kishua, yaanza na pumzi, stamina
SIMBA imeingia siku ya pili ya mazoezi ikiwa kambini katika jiji la Ismailia, Misri lakini hadi jana mastaa wa timu hiyo walikuwa wakifanyishwa mazoezi magumu pekee, huku kipa Ayoub Lakred...