HESABU 4 ZAIBEBA SIMBA SIMBA imetinga kibabe hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kuongoza kundi A la mashindano hayo na inapewa nafasi kubwa ya kutinga nusu fainali ingawa haitajwi...
Ushirika Moshi iliupiga sana mwingi balaa! KWA sasa mashabiki wa Simba wamekuwa wakipagawa na soka tamu linalopigwa na kina Luis Miquissone, Clatous Chama na Larry Bwalya, lakini asikuambie mtu kuna timu ilikuwa balaa enzi hizo, iliitwa...
Luis Figo na rekodi yake Bab’kubwa Mara nyingi mashabiki wa kandanda na vyombo vya habari vya Ureno huzungumzia yatima au kiumbe ambaye mchango wake katika mchezo huu ni mkubwa, lakini hautambuliki kama inavyostahiki.
Fraga anarudi mwanangu KIUNGO Gerson Fraga amewapa habari njema mashabiki wa Simba kuwa amepona majeraha yake ya muda mrefu na muda sio mrefu atarejea uwanjani na anatamani kurudi ndani ya timu hiyo.
Zuchu: Mwaka mmoja tu kaweka rekodi na kibao na kazivunja mwenyewe Msanii wa Bongofleva, Zuchu ametimiza mwaka mmoja tangu atambulishwe rasmi kujiunga na lebo ya WCB. Usiku wa Aprili 8, 2020 lebo hiyo ilitangaza kumsaini mwimbaji huyo ambaye ni mtoto wa Malkia...
Simba hii ya Gomez balaa tupu KIKOSI cha Simba kimerejea jijini Dar es Salaam, kikitokea Cairo Misri ilipoenda kuvaana na Al Ahly na kuupiga mpira mwingi uliowakosha wadau wa soka nchini waliodai soka hilo linaasharia benchi...
MKWAMBI: KWA SIMBA HII, YANGA ITASUBIRI SANA KATIKA utawala wa bodi ya Simba hakuna bosi aliyewahi kuitingisha klabu hiyo kama Swedy Mkwabi ambaye alisababisha mvutano mkubwa kisha akaamua kujiweka kando kwa kujiuzulu.
Eymael mambo yake safi Sauzi CHIPPA United ipo kwenye hatua za mwisho za kumpa kibarua Luc Eymael ili kumrithi Dan Malesela aliyefutwa kazi kutokana na mwenendo mbaya wa timu,
Chelsea yaandaa mzigo mrefu kumpata Lukaku MABOSI wa Chelsea wanandaa zaidi ya Euro 100 milioni ili kufanikisha dili la kumsajili straika wa Inter Milan na timu ya taifa ya Ubelgiji, Romelu Lukaku, 27, katika dirisha lijalo la majira ya...
KMC yaipiga mkwara Yanga KIKOSI cha KMC kinaendelea kujifua kwa ajili ya mchezao wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga huku mabosi wao wakisisitiza wamejiandaa kuwadhalilisha vinara hao na mabingwa wa kihistoria wa ligi hiyo.