Mgunda aanza na sare Simba KAIMU Kocha Mkuu wa Simba SC, Juma Mgunda, ameanza majukumu yake ndani ya kikosi hicho kwa kuambulia sare katika mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Mchezo huo uliochezwa leo kwenye...
Aucho amshusha presha Gamondi Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ametamba kuwa timu yake inaweza kufanya vizuri katika mechi tatu zinazofuata za Ligi Kuu Tanzania Bara ambazo atamkosa kiungo wake Khalid Aucho lakini amefurahishwa...
Bellingham, Mbappe wailiza Barca El Clásico MADRID, HISPANIA: JUDE Bellingham amefunga na kutoa pasi ya bao kwa mara ya kwanza msimu huu wa La Liga wakati Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona katika mechi ya El Clásico...
Timu kiboko kwa kuchelewesha muda England UNAKUWA kwenye hali gani, timu yako inahitaji bao na mpinzani unayekabiliana naye, wachezaji wake wanapoteza tu muda uwanjani, kwa kujiangusha au kuchelewa kurusha mpira au kupiga golikiki.
P Diddy anavyopitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ WAKATI mwanamuziki maarufu wa hip hop nchjini Marekani, Sean ‘Diddy’ Combs akisubiri huku baada ya kutiwa hatia kwa makosa mawili ya usafirishaji binadamu kwa ajili ya ukahaba na kujihusisha na...
PRIME BADO WAMO: Ronaldo na wazee wenzake aliocheza nao hawataki kung’atuka SUPASTAA Cristiano Ronaldo yupo kwenye msimu wake wa 22 wa soka la kulipwa na mambo yake ndio kwanza yanaanza huko Saudi Pro League, akiwasha moto kisawasawa kufukuzia rekodi mbalimbali na mataji...
HAKUNA KULALA: Mechi za kutolea macho Ligi ya Mabingwa Ulaya ALIYEPATA kapata na aliyekosa kakosa. Ndicho unachoweza kusema juu ya mfumo mpya wa Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu na kwa kesho Jumatano zitapigwa mechi za mwisho za hatua ya makundi inayocheza...
NIONAVYO: Miaka 90 Yanga bado imara sana SHEFFIELD FC ya England inatambuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) kama klabu kongwe kuliko zote duniani ambayo bado inaishi na inafanya shughuli za soka.
Mzee Zorro afunguka kinachomtesa, amtaja Maunda Mimi siumwi sukari, siumwi moyo, siumwi presha, siumwi HIV, figo, wala vidonda vya tumbo. Yaani niwaambie Watanzania siumwi chochote miye.”