Simba yaifunika Yanga, Azam ugenini Ikcheza bila ya kocha mkuu, Abdelhak Benchikha, Simba juzi usiku ilipata ushindi wa mbinde wa mabao 2-1 mbele ya Wagosi wa Kaya, Coastal Union, ikiendeleza moto wake kwa mechi za ugenini katika...
Prodyuza wa Ditto atoa ushahidi wa saa tatu mahakamani Emmanuel Maungu ambaye ni prodyuza wa wimbo wa Nchi Yangu wa mwanamuziki, Lameck Ditto ametoa ushahidi leo Alhamisi kwa muda wa saa tatu akielezea mahakama namna alivyotengeneza wimbo huo mwaka...
Kanuni yagoma Singida FG kuwapeleka sita Ihefu SIKU mbili baada ya kutoka kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, Singida Fountain Gate mambo yamebadilika kabisa. Ikiwa kwenye michuano ya Mapinduzi, timu hiyo ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya...
Kanuni yagoma Singida FG kuwapeleka sita Ihefu SIKU mbili baada ya kutoka kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi, Singida Fountain Gate mambo yamebadilika kabisa. Ikiwa kwenye michuano ya Mapinduzi, timu hiyo ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya...
Benchi jipya Yanga moto MASHABIKI wa soka wa Yanga kwa sasa hawana wanachotaka kusikia zaidi ya kulijua jina la kocha mkuu mpya wa kuchukua nafasi ya Cedric Kaze aliyesitishiwa mkataba wake wiki iliyopita, lakini kazi...
NBC Dodoma Marathon kusaidia wanawake 20,000 wenye kansa ya uzazi JUMLA ya wanawake 9,000 nchini wameweza kuchunguzwa Saratani ya Shingo ya Kizazi na wanawake 550 wamegundulika na kupatiwa matibabu ya ugonjwa huo. Hilo limewekwa wazi na Mkurugenzi wa Benki ya...
Mtajua hamjui! Mgunda apiga mkwara, Minziro apania SIMBA na Geita Gold zinatarajiwa kushuka uwanjani jioni ya leo kwenye pambano la Ligi Kuu Bara, huku kila timu ikikabiliwa na mtihani wa kuhakikisha inaondoka na pointi tatu na makocha wake...
PRINCE DUBE: Huyu jamaa ni zaidi ya moto WAKATI anatambulishwa ndani ya Azam hakuna aliyemchukulia kwa uzito mkubwa. Kwanza ni kutokana na muonekano wa sura yake na hata umbile lake lilivyo. Hakutisha sana kama alivyo, Meddie Kagere wa...
PRIME Mrithi wa Mayele Yanga huyu hapa MASHABIKI wa Yanga huko mtaani na mitandao ya kijamii wanatamba kuwa mziki wa kusumbua msimu ujao na kama kawaida yao watabeba tena mataji, lakini kocha wa timu hiyo, Miguel Gamondi ametamka bado...
Simba yatesti mitambo ya CAF VINARA wa Ligi Kuu Bara na wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba jioni ya leo watatesti mitambo ya CAF, itakapovaana na Asante Kotoko ya Ghana kwenye mechi ya michuano...