"Amini mchakato” umezaa matunda! Umpende au umchukie Arteta anastahili
Muda kama huu mwaka jana, Gary Neville alidai mafanikio makubwa zaidi ya Mikel Arteta akiwa Arsenal hayakuwa kutwaa Kombe la FA 2020, bali ni kuendelea kubaki kazini licha ya kupita misimu mitano...