NO AGENDA: PENSELI YA KIBA ALIYODAI IMEIBWA NA DIAMOND, ALIYEICHONGA SIO DIMPOZ?
Sasa basi, Dimpoz ana hulka za kupenda ‘bato’. Swali ni je, Dimpoz alimchongea Kiba penseli na kumwacha aandike mwenyewe, au alimsadia vyote viwili kwa maana ya kumchongea na kumwandikia?