Ruben Amorim alivyomzidi ujanja Arne Slot RUBEN Amorim ametumia akili kubwa kumzidi ujanja Arne Slot wakati Manchester United ilipoiduwaza Liverpool uwanjani kwao Anfield
Dakika 444 bila bao, huyu ndiye Viktor Gyökeres Klabu ya Arsenal imeanza msimu kwa kiwango cha kuvutia, ikishinda mechi nane kati ya kumi za mwanzo, lakini mambo hayajawa mepesi sana kwa mshambuliaji mpya Viktor Gyökeres.
IMEKUWAJE? Panda, shuka za mastaa waliotimka Old Trafford BAADA ya msimu uliopita kuwa na panda shuka nyingi ndani ya Manchester United, baadhi ya wachezaji waliamua kutafuta malisho mapya katika dirisha la majira ya kiangazi.
Dar City kuna kitu inakipika, kocha Mbwana afunguka BAADA ya Dar City kufuzu kucheza hatua ya pili ya mashindano ya Road to BAL Divisheni ya Mashariki, kocha wa timu hiyo Mohamed Mbwana amezungumzia mambo kadhaa, lakini akitaja kile wanachokwenda...
Makosa 22 ya Onana yaliyosababisha Man United kufungwa MANCHESTER United imekubali kumtoa kwa mkopo kipa Andre Onana kwenda Trabzonspor baada ya kukosa imani na mkali huyo wa Cameroon.
Mnada mtandaoni wawapa vicheko Watanzania Wakati teknolojia ikizidi kukua, Watanzania wanaendelea kunufaika nayo kwa kutumia mitandao wakiuza na kununua bidhaa zao na kuvuna pesa na zawadi nyingine. Hili limedhihirika baada ya washindi...
Simba yaiua Prisons 1-0 Taifa Ligi tayari imezinduliwa na mechi ya Simba na Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza mechi ya Ngao ya Jamii mwishoni mwa wiki iliyopita Jumamosi Agosti 18.
Arsenal, Man City kumaliza ubishi Emirates leo MANCHESTER City inasema huko kwenu Erling Haaland atakabwa na nani...Arsenal inajibu huku kwetu yupo Gabriel Magalhaes haachi kitu.
Amorim, Man United mulemule PRESHA ipo juu kwa kocha Ruben Amorim baada ya dirisha la usajili la majira ya baridi huko Ulaya kufungwa huku chama lake la Manchester United likishindwa kunasa mastaa wa maana wa kuja kuongeza...
Yusuf Manji afariki dunia TAARIFA zilizotufikia hivi punde ni kwamba aliyekuwa mwenyekiti na mfadhili wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji amefariki dunia usiku wa jana huko Florida, Marekani.