Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

9105 results for Mwandishi :

  1. Simba Queens yaahidi makubwa Kimataifa

    MABINGWA wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Simba Queens wanatarajiwa kuondoka nchini kesho Julai 14 kueleka Kenya kwa ajili ya michuao ya kushiriki Ligi ya Mabingwa ya Wanawake kanda ya Baraza la...

  2. Nabi: Tunaanza na hawa kwanza

    KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema anamalizana kwanza na Geita Gold katika mechi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), kisha inaanza mipango ya pambano lao la Ligi Kuu Bara...

  3. HATARI! Cheki derby za kibabe Afrika

    MWISHO wa ubishi. Kuanzia saa 11:00 jioni kwenye Uwanja wa Benjamini Mkapa, jijini Dar es Salaam kuna shughuli pevu itafanyika wakati vikosi vya Simba na Yanga vitakapovaana katika mechi yao ya...

  4. Simba mikakati mipya msimu ujao

    SIMBA imeendelea kujifua nchini Uturuki kwaajili ya msimu mpya huku kocha mkuu wa kikosi hicho Roberto Oliveira akitamba kutisha zaidi msimu ujao. Robertinho juzi alipata picha kamili ya kikosi...

  5. Simba Dar? Labda itokee tu

    MASHABIKI wa Simba bado hawaamini kama walishindwa kutoka na ushindi dhidi ya Power Dynamos ya Zambia kwenye mchezo wa kwanza wa raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini kama watasoma...

  6. Yanga wakijaa tu na kujisahau wamekwisha

    IKO wazi. Ubora wa Simba na Namungo kwenye michuano ya kimataifa msimu uliopita umeipa heshima Tanzania. Imepewa uwakilishi wa timu nne msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa na Kombe la...

  7. MZUKA WA GOFU: Mfalme James IV alivyoiweka gofu kwenye ramani

    Ulianza kuchezwa karne ya 15 huko Scotland, orijino yake ni huko eastern coast, Scotland. Bunge la Uskoti la Mfalme James wa Pili lilipiga marufuku mchezo huo mwaka wa 1457, Ingawa watu wengi...

  8. Tamasha la Sauti za Busara 2022 kupaza sauti za wanawake

    Zimebakia wiki tano kabla ya kuanza kwa Tamasha la 19 la Sauti za Busara, huku mashabiki duniani kote wakisubiri kukutana katika eneo moja la aina yake, ambapo muziki wa Kiafrika unakuwa ukikonga...

  9. Afrika ilivyoupiga mwingi Qatar 2022

    HATUA ya makundi ya fainali za Kombe la Dunia 2022 huko Qatar imefika tamati juzi Ijumaa na ilichokifanya timu za Afrika kwenye mikikimikiki hiyo, bravo!

  10. ZILITRENDI: Beki Yanga nusura atekwe na Simba

    TAREHE kama ya leo, lakini mwaka 2004, beki wa Yanga kutoka Mbanga FC Kigoma, Ramadhan Rashid 'Carlos' alinusurika kutekwa na baadhi ya viongozi wa Simba. Habari zilizotrendi kipindi hicho...

Previous

Page 781 of 911

Next