Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8302 results for Mwandishi Wetu :

  1. Kigogo Yanga ang’atuka, amgusia Manara

    SAA chache tu baada ya aliyekuwa Msemaji wa Simba, Haji Manara kujiunga na Yanga, Kigogo wa klabu hiyo na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, Athuman Kihamia ametangaza kujiuzulu na...

  2. KMC yatimkia Moro, wajiandaa kutambulisha mastaa wao

    KLABU ya KMC FC imeanza rasmi kambi kwa ajili ya kujiandaa vizuri na msimu mpya wa Ligi kuu soka Tanzania Bara 2021/2022 kwa kuamua kulihama jiji la Dar es Salaam na kwenda kujichimbia Morogoro.

  3. Ruvu kutambulisha nane wapya

    KLABU ya Ruvu Shooting imejitapa kesho kutangaza wanajeshi wake 25 watakao ingia kambini kujiweka sawa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania bara. Ruvu walimaliza nafasi ya 11 katika msimu...

  4. Mbeya Kwanza yavuta kifaa Nkana

    KLABU ya Mbeya kwanza FC imefanikiwa kumsajili Salum Abdallah Chuku kutoka Nkana Red Devil FC ya nchini Zambia kwa mkataba wa mwaka mmoja. Siku chache zilizopita wageni hao wa Ligi Kuu Tanzania...

  5. Simba, Yanga kurudi na ndege moja

    Baadhi ya nyota wa Simba na Yanga leo Agosti 23 wamegongana uwanja wa ndege wa Mohamed V uliopo jijini Casablanca, Morocco na wote wanarudi na ndege moja. SOMA ZAIDI: Yanga yasitisha kambi...

  6. Simba yaanza na sare Morocco

    Kikosi cha Simba leo kimecheza mechi ya kwanza ya kirafiki dhidi ya AS FAR Rabat ya nchini humo na kumaliza kwa sare ya mabao 2-2. Simba ilipanga kucheza mechi tatu za majaribio katika kambi yao...

  7. Yusuf amtisha Mayele Yanga

    Yanga imesajili washambuliaji watatu tu kuelekea msimu ujao lakini kati yao kuna mmoja tu ndio mzawa na sasa jamaa ameshusha mkwara mzito akisema ujio wake ndani ya timu hiyo sio amekuja kukaa...

  8. Simba shangwe miaka 3

    KUANZIA 2018 hadi sasa, Simba imepitia katika kipindi cha neema kutokana na mafanikio makubwa iliyoyapata katika mashindano ya kimataifa na yale ya ndani, ikitwaa mataji matatu ya Ligi Kuu...

  9. Tizi la Simba Morocco hadi raha

    RABAT, MOROCCO. MABOSI wa Simba jana waliwasapraizi mashabiki wao kwa kumtambulisha mrithi wa Luis Miquissone, huku kambi yao iliyopo Rabat imenoga baada ya msafara wa pili wa timu hiyo akiwamo...

  10. UBISHI WA MZEE WA KALIUA: Tatizo sio Chama na Luis kuondoka Simba

    fainali lakini sio Kwa kuwauza Chama na Miquessone. Hawa ni wachezaji bora ndani ya Kikosi ambao walipaswa kuongezewa zaidi nguvu. Walipaswa kuongezewa zaidi makamanda wapya ili kufikia lengo...

Previous

Page 779 of 831

Next